CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,858
- 687
- Thread starter
- #41
CPU kaamka vizuri leo,haya kweli waga tunanguo nyingi lakini tunakosa za kuvaa asubuhi,saa nzima unatafuta tu uave ipi.....80% ya hayo uliyosema ni kweli na ndo tusihivyo! duh,ila hapo kwa wanaume,kazi kweli kweli,ni vizuri kuwajua though!
Karibu bibie mrembo, naona leo nimewakamata mpaka hamna cha kubisha, kweli leo CPU ilikuwa kiwango, wadada woooote wanapiga saluti isipokuwa Lizzy tu ndo alitaka akabe hadi penati hahahaha . . . nakuonaga ukifanyaga shopping za nguo, lakin bado unavaa za zamani