CPU kaamka vizuri leo,haya kweli waga tunanguo nyingi lakini tunakosa za kuvaa asubuhi,saa nzima unatafuta tu uave ipi.....80% ya hayo uliyosema ni kweli na ndo tusihivyo! duh,ila hapo kwa wanaume,kazi kweli kweli,ni vizuri kuwajua though!
najua huna utetezi lakin ni wazi kabisa binadamu wa aina hiyo. Labda tu kwa wale ambao bado wanaoshi maisha ya porini. So kwasababu umeshindwa kutoa utetezi unaoeleweka hivyo basi data zangu ni za kweli.
Najua ulitaka kuipeleka hoja kwenye mahusiano ya mwanamke na mwanaume ili useme mwanamke hatamani pesa ya mwanaume, lakin hoja yangu ni pesa anayotafuta kila mtu kivyake. Hope u agree now!
Eh haya!Ngoja niogope topic zako kabla hujatuhumu mengine!Basi si bure ulikuwa unataka kui-twist topic
Karibu bibie mrembo, naona leo nimewakamata mpaka hamna cha kubisha, kweli leo CPU ilikuwa kiwango, wadada woooote wanapiga saluti isipokuwa Lizzy tu ndo alitaka akabe hadi penati hahahaha . . . nakuonaga ukifanyaga shopping za nguo, lakin bado unavaa za zamani
CPU nawe,kuna vitu vingine ni natural tu ndo tulivyo,sasa wataka tubishe nini?katika kila kitu kuna exceptions,so natumaini Lizzy aweza kuwa mmoja wao.....sikuhizi nimeacha kufanya shopping pale ukipokuwa unaniona,nimefulia niko Karume kwa sana....l.o.l
Mh mambo haya bana ila kuna ukweli uliyosema hapo juu. kweli kabisa. Unajiona kabisa hujapendeza utasikia mwenzako anakupa masifa