Dear ladies kuweni makini sana, kuna washamba wa teknolojia

Dear ladies kuweni makini sana, kuna washamba wa teknolojia

kunta93

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
754
Reaction score
1,512
Salaam,

Tupo washikaji kumi Na tatu ambao tuna aminiana sana na tunatunziana Siri. Tuna group la whatsap ambalo unaeza tuma chochote na hakieza toka nje ya hilo group Na tuliapishana kabisa hata mawife wasichungulie mle,so content yoyote unashare na wana,privacy guaranteed

That's not a problem, the problem is Wana kila siku wanatuma videos wakiwagegeda watoto wa watu, na video nying nnavyoona zinakua recorded bila consent ya hao warembo.voicenotes pia sometimes

What pains me sio kugegeda coz I do it too,but why umrecord mtoto wa watu bila idhini yake?

Af unarecord ili iweje? Yaani ni ushamba flan,ni sawa na kula pilau kuku ukaenda kuwatambia wenzio ni utoto

Sio vzur kufanya hvo,kwanza ni uvunjifu wa Sheria Na pili huez jua kesho au kesho kutwa hyo video itakua mikononi mwa nani.kama unafanya hvo acha ni ushamba,kama kuna rafiki ako anafanya hvo jaribu kumshaur aache ushamba(Mimi nimefanya hvo ila wameniremove hadi kwa group)

Af Na nyie wadada mkienda kugegedwa hakikisha simu(smartphone) ya jamaa ako unaiona iko api na imekaa vp,sio unafika unampanda panda tu kumbe kakutegeshea.

Af kuna madem washenz sana,anaambiwa piga picha ukiwa mtupu unitumie nalo linatuma,are you stupid!!!unaemtumia ni ndugu yako? Umaskini usikufanye usiwe Na akili

Ladies kueni makini sana,kuna wavulana wapumbavu
 
Kumbe napitwa na mengi hivi.. sisi ambao hatutumii hata wasapu ndo tunaitwa washamba,kazi kwenu wajanja.. nami Niko mbioni kuanzisha group la makomamanga.
 
hili ndo group la washamba yani unaleta story za group hapa wakati nshakula kiapoooo?

Hamna kiapo hapooo just siku za kupiga kura hiyo 28 oct 2020 ifike tuuu.sie wa tecno toch hatunaga hayo ya kuvunja sheria ama kufanya dhambi
 
We ni snitch.aya maneno unge anza kuwaambia ao kwanza
 
Wewe ndio mshamba namba moja na haujitambui...alafu ni snitch kichiz umeniboa
 
Back
Top Bottom