Dear ladies kuweni makini sana, kuna washamba wa teknolojia

Tuweni makini hata kama ni wanandoa msifanye hivyo huwez jua simu ya itakuwa mikononi mwa nani hapo siku za usoni
 
Kwahiyo ulikuw active kwenye hilo group kwa muda gani mpaka ukaona uache huo ushamba
 
Sasa we mwanamke uliingiaje chocho la wahuni ndo mana wamekuremove mwanaume mbea ona aibu babu
 
hakunaga siri ya watu zaidi ya wawili...naona ushaanza kuchoka na kuanza kuvujisha content za kikundi chako kinachopenda phonograph.

Inaonekana malengo yenu ni kushindana nani atatoka na PISI kali fulaniii.. kwa anayefanikiwa anarekodi na kutuma kwenye genge lenu

Unajifanya unajali sanaa kumbeee ...
 
Salaam,

Tupo washikaji kumi Na tatu ambao tuna aminiana sana na tunatunziana Siri. Tuna group la whatsap ambalo unaeza tuma chochote na hakieza toka nje ya hilo group Na tuliapishana kabisa hata mawife wasichungulie mle,so content yoyote unashare na wana,privacy guaranteed

That's not a problem, the problem is Wana kila siku wanatuma videos wakiwagegeda watoto wa watu, na video nying nnavyoona zinakua recorded bila consent ya hao warembo.voicenotes pia sometimes

What pains me sio kugegeda coz I do it too,but why umrecord mtoto wa watu bila idhini yake?

Af unarecord ili iweje? Yaani ni ushamba flan,ni sawa na kula pilau kuku ukaenda kuwatambia wenzio ni utoto

Sio vzur kufanya hvo,kwanza ni uvunjifu wa Sheria Na pili huez jua kesho au kesho kutwa hyo video itakua mikononi mwa nani.kama unafanya hvo acha ni ushamba,kama kuna rafiki ako anafanya hvo jaribu kumshaur aache ushamba(Mimi nimefanya hvo ila wameniremove hadi kwa group)

Af Na nyie wadada mkienda kugegedwa hakikisha simu(smartphone) ya jamaa ako unaiona iko api na imekaa vp,sio unafika unampanda panda tu kumbe kakutegeshea.

Af kuna madem washenz sana,anaambiwa piga picha ukiwa mtupu unitumie nalo linatuma,are you stupid!!!unaemtumia ni ndugu yako? Umaskini usikufanye usiwe Na akili

Ladies kueni makini sana,kuna wavulana wapumbavu
Japo wamekushambulia sana lakini umetoa ujumbe mzuri sana and trust me huu ujumbe wako utakua umeshtua mabinti wengi sana, na kuwasuta hao washamba wa technology,

Vitu vinavyofanywa faragha viishie faragha, kurecord na kusambaza ni ushamba na ujinga,

Badilikeni.
 
Nawapa pongezi hawa jamaa kwa kukuondoa maana unazingua. Watu wamekuamini wee nawe umewaangasha
 
Japo wamekushambulia sana lakini umetoa ujumbe mzuri sana and trust me huu ujumbe wako utakua umeshtua mabinti wengi sana, na kuwasuta hao washamba wa technology,

Vitu vinavyofanywa faragha viishie faragha, kurecord na kusambaza ni ushamba na ujinga,

Badilikeni.
Ubarikiwe sana.
 
Salaam,

Tupo washikaji kumi Na tatu ambao tuna aminiana sana na tunatunziana Siri. Tuna group la whatsap ambalo unaeza tuma chochote na hakieza toka nje ya hilo group Na tuliapishana kabisa hata mawife wasichungulie mle,so content yoyote unashare na wana,privacy guaranteed

That's not a problem, the problem is Wana kila siku wanatuma videos wakiwagegeda watoto wa watu, na video nying nnavyoona zinakua recorded bila consent ya hao warembo.voicenotes pia sometimes

What pains me sio kugegeda coz I do it too,but why umrecord mtoto wa watu bila idhini yake?

Af unarecord ili iweje? Yaani ni ushamba flan,ni sawa na kula pilau kuku ukaenda kuwatambia wenzio ni utoto

Sio vzur kufanya hvo,kwanza ni uvunjifu wa Sheria Na pili huez jua kesho au kesho kutwa hyo video itakua mikononi mwa nani.kama unafanya hvo acha ni ushamba,kama kuna rafiki ako anafanya hvo jaribu kumshaur aache ushamba(Mimi nimefanya hvo ila wameniremove hadi kwa group)

Af Na nyie wadada mkienda kugegedwa hakikisha simu(smartphone) ya jamaa ako unaiona iko api na imekaa vp,sio unafika unampanda panda tu kumbe kakutegeshea.

Af kuna madem washenz sana,anaambiwa piga picha ukiwa mtupu unitumie nalo linatuma,are you stupid!!!unaemtumia ni ndugu yako? Umaskini usikufanye usiwe Na akili

Ladies kueni makini sana,kuna wavulana wapumbavu
unatufoke sisi? si ukafoke kwenye grupu lenu
 
Sasa wewe si ungewaambia hao wenzako mnaofanya huo upuuzi wenu

Shit🚮🚮
 
Back
Top Bottom