Dear Mama, Can you Offer An Unconditional Amnesty to All Zanzibaris Waliokimbia After Revolution, Incl Sultan, Be Free to Return & Start Afresh?

Una nawazo ya kitumwa.
Huyo mwarabu alikuta waafrika visiwani humo.
 
Msipate taabu sana. Zanzibar tutaikomboa tuu wenyewe na mamlaka yake tunayarudisha. Hata ikichukua miaka mingine 100 tuna subira. Ndugu zetu wa diaspora tutawaita watusaidie kuleta maendeleo.

Nyie hangaikieni na ukabila wenu unaozidi kuwanyemelea huko bara. Maana mmeshaanza kuitana sukuma gang na Wakenya wameshaona fursa wanachochea Wamaasai wao wawapiganie ndugu zao wa Loliondo. Na utaona wanachochea makabila mengine ya mpakani muda si mrefu labda serikali iwahamishe na wao. Wakuria, Waluo wataanza harakati zao muda si mrefu.
 

Kwanza tuwacheni tupumuwe







Ndivyo pepo la mchungaji wako kanisani lilivyowaeleza historia hiyo?
 
Akili ndogo akisoma aweza dhan unasupport Sultani arudi.

Kumbe umepuliza wakati huo huo ameandika HATI ya mashtaka Kwa walengwa.

Wataelewa ht baadae.
 
FaizaFoxy Mohamed Said Pascal Mayalla Huyu Anaweza kuruhusiwa kutembelea Zanzibar ?
Mkuu Yoda 、kwanza asante sana kuni tag,uzi huu Huyu ndo sultan wa Mwisho wa Zanzibar
Huyu ndo jamshid bin Abdullah the last Zanzibar sultan na mke wake .

Sula tu unajua huyu damu yetu kabisa 😂 . Mke wake ndo kabisa . Mtoto wa tanga huyu .
Mkuu Danielmwasi, asante sana kwa bandiko hili, anaonekana ni mtu rahimu sana, aruhusiwe tuu kurejea Zanzibar.

Zanzibar ni one of my very special area of interest, yale mambo yangu ya kupenda misosi, nilipita mahali almanusura nisimishwe!Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?

Tukirejea kwa huyu Sultan, kwa vile hakufukuzwa Zanzibar, alijiondokea mwenyewe, he is free kujirudia mwenyewe. Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

Kwa vile huyu kosa lake ni moja tuu Kumbe Sultan Jamshid Alifurahia Kuuawa kwa Karume!. Alitaraji Kurejea Kama Sultani, Kumbe... tumemuomba。Rais Samia na rais Mwinyi wamsamehe tuu, wamkaribishe Zanzibar aje kumalizia Zanzibar, siku zake chache za maisha yake zilizobakia ili aki... ,a ... Zanzibar.

Mimi mwanajeiefu mwenzenu ni Mzee wa masauti nimeisha elezwa kitu na nikakieleza humu Voices From Within: Sultan Jamshid bin Abdullah Al Said Atafurahi Zaidi, Kama Ata... Zanzibar!, Rais Samia, Rais Mwinyi, Sameheni, Mtabarikiwa Sana!.

Na baada ya kuisikia sauti hiyo, tulituma ombi rasmi kwa Rais Samia Dear Mama, Can you Offer An Unconditional Amnesty to All Zanzibaris Waliokimbia After Revolution, Incl Sultan, Be Free to Return & Start Afresh?

Huu sasa ni wakati muafaka huyu Sultan aruhusiwe kurejea Zanzibar.
P
 
Huu sasa ni wakati muafaka huyu Sultan aruhusiwe kurejea Zanzibar.
P
1. Huenda baadhi ya mambo yamekupita, hasa ukiwa Mzanzibari wa kujiandiksha😂😂 (Zanzibari by registration). Huyu jamaa ni Mzanzibari kwa kuzaliwa (Zanzibari by birth) kwa mujibu wa Sheria ya Mzanzibari ya 1986. Huyu pia ni Mtanzania kwa kuzaliwa kwa mujibu wa sheria ya Uraia ya JMT.
2. Huyu mtu alisharuhusiwa kurudi Zanzibar tokea utawala wa Dr. Salmin Amour. Sasa ni kurudi tu akipenda na kama bado yuhai, kwani sina hakika kwamba yuhai. Mama, labda, arudie tena kama Rais wa JMT.
 
Napenda kuchangia hoja ila sina uhakika wa nani mwenye mamlaka ya kutoa msamaha huo kati ya rais wa Zanzibar na rais wa Tanzania, naomba unieleweshe.
 

Napenda kuchangia hoja ila sina uhakika wa nani mwenye mamlaka ya kutoa msamaha huo kati ya rais wa Zanzibar na rais wa Tanzania, naomba unieleweshe.

Napenda kuchangia hoja ila sina uhakika wa nani mwenye mamlaka ya kutoa msamaha huo kati ya rais wa Zanzibar na rais wa Tanzania, naomba unieleweshe.​

Ninahitaji kueleweshwa kuliko Thanks, nani mwenye mamlaka kati ya rais wa Zanzibar na rais wa Tanzania kumsamehe mtu kwa kitendo kilichotokea kabla ya muungano.
 
umeongea kitu cha maana sana, sultan arudi tu ukizingatia ana miaka 52 tu kwa sasa, wakati ule utoto tu ndo uliomkimbiza, akija awe seremonial leader kama kabaka mutesa wa uganda.
 
Ombi hili limezaa matunda Mapendekezo 10 Muhimu, Ujio Sultan wa Zanzibar, apewe Ving'ora, Kasri, atangaze Utalii,Mshindi wa Kweli Zanzibar 2025 Atangazwe To Heal Zanzibar!。
P
 
Maneno ya busara sana haya。
P
 
umeongea kitu cha maana sana, sultan arudi tu ukizingatia ana miaka 52 tu kwa sasa, wakati ule utoto tu ndo uliomkimbiza, akija awe seremonial leader kama kabaka mutesa wa uganda.
Bro, 52 years? This can’t be right! Ni miaka zaidi ya 60 sasa tangu Mapinduzi ya Zanzibar matokeo. Inawezekanaje Sultan awe na miaka 52?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…