Haimaanishi pesa tu. Wapo wanaume wasiotoa pesa wanatunzwa. Huko ndo wanaafford kuwa kwenye relationshipNeno EXPENSIVE lina vinasaba vya pesa.
Kwahiyo hapo jibu ni tutafute pesa, maana hizo zingine ni mbwembwe tu.
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Good morning View attachment 806955
Unautani na wanaume wa Dar eehh....!!??Haimaanishi pesa tu. Wapo wanaume wasiotoa pesa wanatunzwa. Huko ndo wanaafford kuwa kwenye relationship
Hebu nitafsirie tafadhali, nimeona hiyo "for men" imesaidia sana kujua inatuhusu, namshukuru sana yule muuza pafyumu leo ningetoka kapa kabisa.Bila shaka wameupata ujumbe, tatizo ni kuuelewa huo ujumbe!
Haimaanishi pesa tu. Wapo wanaume wasiotoa pesa wanatunzwa. Huko ndo wanaafford kuwa kwenye relationship
Hakuna asiyependa pesa anaweza asipende pesa akataka attention yako na bado akaikosa pia!Eeeh. Kwa wale wanaolalamika mwanamke anapenda pesa waende kwa wasiopenda pesa. Maana ndo wanawaafford.
Eeeh. Kwa wale wanaolalamika mwanamke anapenda pesa waende kwa wasiopenda pesa. Maana ndo wanawaafford.