Dear Men....

Dear Men....

If you are not there I will pick ulipoishia. Ndo maana na sisi wanawake wa siku hizi tunatafuta vyetu siku mume hayupo au kashindwa kuprovide kwa sababu zisizozulika tunasaidia. Ila usitegemee uko hapo na nguvu zako ukae ulegeze miguu mimi nikuletee sahau. Utatoa nitakusaidia ninapoweza na nikishindwa usilalamike maana sikukutuma unioe. Ukishindwa kabisa katafute mwanamke mtakaegawana nusu kwa nusu mpaka kumbebea tumbo akiwa na mimba.
Halafu una obsession na chura eeh?? Chura inahusiana nini na financial dependency?
Hawajaelewa maada wengine!wanatafsiri kwa stress zao!

Mbona inaeleweka maisha kusaidiana ila sio mwanaume ukae usubiri nkuletee!samahani sanaa...au usinihudumie[emoji3][emoji16][emoji16]mwenzangu sitaki maana wengine tuko kwenye relationship tunakua committed 100%!usiponijali utaniua!
 
Kwa mfano ,mim naweza kuafford kuwa na ww,lakini wew ukawa na mtazamo kuwa Mimi sio saiz yako , yani wew ni next level,,,,,,,, mi naona tatizo lipo kwenu
 
Am okay. Comment angu ili reflect Mada, haikua jibu la mada ama hoja ya mleta mada. Ku-date mtu wa type yako kwa maana ya social & economic class of your type its healthier. Neither men nor women are committed in their relationships. Pole pia
Ahsante
 
Ukiona hujamuoa hakupangwa kuwa wako ndo maana hata wako utakaemuoa alikua mwanamke wa mwingine
Kama ni hivyo mbona kuna watu hawaolewi? Kwa hiyo haikupangwa waolewe,by the way Mimi ntaoa bikra kama sio bikra bora nisioe no doubt
 
Back
Top Bottom