jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
sana yani, siwezi lalamika hata kiduchu, nimeshangaa tu secta zote anazimuduNimefurahi kusikia hilo my dada, karibu kwenye uzi wa kuafodiana natumaini dirty head anakuafodi vyema[emoji40] (joke)
ninavyoelewa mimi wengi wetu kuna sekta tuko vzr zingine tunafeli ila kwa dirty head yuko vizuri pande zote
nazidi kufurahia mema ya nchi