Dear Men....

Dear Men....

Najua money is not everything ila unasaidia kiasi gani? Money haifanyi mwanamke akapata orgasm au akawa na furaha kwenye relationship ila kama the love is real ukiweka kahela kidogo tu unamarinate relationship yako
Auuuww [emoji136]

Embu pata breakfast kwa gharama yangu please
 
That 50-50 will cost you kuliko mnavyodhani.

Ha ha ha, sina hizo mambo.

Shida yangu kila mmoja a-play part inayomhusu.

Bahati mbaya sana tuko kwenye era ambayo kila upande haujui nini unakihitaji kwenye mahusiano.

Unaweza kuta mtu anaamua kuzingua tu kwa sababu zisizoeleweka pamoja na kwamba yuko kwenye mahusiano ambayo anapata 80% ya anachohitaji.
 
vipi shemeji anasimamia anapo`afford na wewe kwa upande wako,maana uzi wako kama kuna mtu wako wa karibu unamrenga...
Mashemeji zako wote wamesimama wanapostahili maana sina invoice za wao wanishindwe.
 
Back
Top Bottom