Dear Men....

Dear Men....

I want a woman who's been hurt before,so i can show her that there still real males like me out here that's gonna hurt her again.
 
Mwanaume anejitambua kabisa hawezi akakaa na mwanamke asimpe hata elfu 10 ya salon. Mwanaume anaeogopa kuhudumia mwanamke wake ipo siku atatunzwa yeye na akiachwa kutunzwa na wanawake atatunzwa na wanaume wenzie maana neno kuhudumia patna halitaki
Hahaahaha..
Ahsantee shoo
 
hiyo quote ingekuwa ni sheria jasho zingetutoka,but as far as mapenzi hayanakanuni kama maisha tu mengine basi kila mtu acheni atumie akili yake ku`handle situation yake ya mapenzi/mahusiano..
 
hiyo quote ingekuwa ni sheria jasho zingetutoka,but as far as mapenzi hayanakanuni kama maisha tu mengine basi kila mtu acheni atumie akili yake ku`handle situation yake ya mapenzi/mahusiano..
Lisingekutoka kama ungesimama kwenye njia yako
 
Hao wapiga kelele unadhani huwa hawahudumii wanawake zao? Wanawahudumia sana tuu sema wakiingia jf wanajifanya vidume vya kukata na shoka.

Ukisoma comment ya mtu unajua kabisa huyu ana stress za kukwanguliwa pesa na wanawake zake, sema tuu hana ujanja wa kuchomoka huko anabaki kumalizia hasira kwenye maandishi.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] stress za kuchunwa analeta kwetu!yaani anamaliza hasira zake kwetu!
 
Hao wapiga kelele unadhani huwa hawahudumii wanawake zao? Wanawahudumia sana tuu sema wakiingia jf wanajifanya vidume vya kukata na shoka.

Ukisoma comment ya mtu unajua kabisa huyu ana stress za kukwanguliwa pesa na wanawake zake, sema tuu hana ujanja wa kuchomoka huko anabaki kumalizia hasira kwenye maandishi.
Wacha weeh[emoji40] [emoji125]
 
Siku unajua money is not everything utakuwa umechelewa treni..!
Najua money is not everything ila unasaidia kiasi gani? Money haifanyi mwanamke akapata orgasm au akawa na furaha kwenye relationship ila kama the love is real ukiweka kahela kidogo tu unamarinate relationship yako
 
Back
Top Bottom