Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hataki kuhudumia atahudumiwa tu[emoji2] [emoji2] maana si anaona siye twafaidi!Mwanaume anejitambua kabisa hawezi akakaa na mwanamke asimpe hata elfu 10 ya salon. Mwanaume anaeogopa kuhudumia mwanamke wake ipo siku atatunzwa yeye na akiachwa kutunzwa na wanawake atatunzwa na wanaume wenzie maana neno kuhudumia patna halitaki