LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,320
- 6,686
i know,and there is where i stand,but not on that quotation...Lisingekutoka kama ungesimama kwenye njia yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
i know,and there is where i stand,but not on that quotation...Lisingekutoka kama ungesimama kwenye njia yako
ok nipm basiUkinipa tunaanza mahusiano sasa hivi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]naomba laki 5
Walalamikaji ndivyo walivyoKweli kabisa. Wanaolalamika wanakwanguliwa ile ile wakija huku wanajitia mimi mwanamke konyo konyo kumbe akitoka hapo anatoa kama kawaida huku anachuuza wenzie
Hakuna na haitakaa itokee ni kujipa moyo!We are heading to 50-50 era.
Jirani Mekumithiii [emoji85] [emoji85] [emoji85]Wacha weeh[emoji40] [emoji125]
Auuuww [emoji136]Najua money is not everything ila unasaidia kiasi gani? Money haifanyi mwanamke akapata orgasm au akawa na furaha kwenye relationship ila kama the love is real ukiweka kahela kidogo tu unamarinate relationship yako
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]I want a woman who's been hurt before,so i can show her that there still real males like me out here that's gonna hurt her again.
vipi shemeji anasimamia anapo`afford na wewe kwa upande wako,maana uzi wako kama kuna mtu wako wa karibu unamrenga...Lol. Hongera kama umesimama unapoafford
Na haipo hyo 50 50That 50-50 will cost you kuliko mnavyodhani.
Hunizidi mimi aisee, maana tokea ujengewe fensi huonekani kabisa jirani. Mzima lakin?Jirani Mekumithiii [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Alafu ukafanyaje?Nlishaambiwa kama huna pesa
Huna msaada wowote kwang
That 50-50 will cost you kuliko mnavyodhani.
Hakuna na haitakaa itokee ni kujipa moyo!