"Dear nina shida na elfu 80 utansaidiaje" Duh! maisha yangekuwa easy kiasi hicho?

....bebi nahama jangwani nyumba yangu imekumbwa na mafuriko! so gharama za kuhama na kukodi chumba mpka mvua ziishe ni 220,000!
 
Hahahah!
Halafu ukamjibu hivi "usihofu honey, njoo uchukue kilo 2 home jioni" huku unakuja kumalizia hasira zako humu. So funny!


unajua hawa viumbe kwanini wanafanyiwa hivyo? enzi hizo nilikuwa nawaambiaga friends zangu kwamba hakuna mwanaume mbahili duniani, huyo hajazaliwa/hatokaa azaliwe, asipompa/kuhonga kaunga atanipa/nihonga nyamayao, na wewe pelekwa ukale chips vumbi mie napelekwa kibo palace nikapunge upepo,inatokana na anavyokuchukulia, wana grade zao hawa,wanalalama tu lakini hakuna ambae hatoi/haongi pesa kwa namna moja au nyingine.
 
Yaani amenichekesha sana hasa sentensi ya mwisho, yaani kama namuona vile.
Maisha yao yanazunguka around us, ukitaka kujua mwangalie mtu ambaye ni ------- wa kuzaliwa jinsi gani anayoishi mradi yupo tu.

 
Hivi kwanini hawa watu hawakomi. Kila siku kazi yao kupiga mizinga. Hivi kila mtu angekua akihitaji hela anaomba tu maisha si yangekuwa easy. Watu tunapiga hustling za kufa mtu then jitu linakuja tu kuomba. "Dia babaako pambaf.. "

wanakushikiaga bunduki?
ni lazima uwe na demu?
si utumie dia sabuni.....chapa lapa na hela zako za mawazo.
 
Yaani amenichekesha sana hasa sentensi ya mwisho, yaani kama namuona vile.
Maisha yao yanazunguka around us, ukitaka kujua mwangalie mtu ambaye ni ------- wa kuzaliwa jinsi gani anayoishi mradi yupo tu.

nina kaka yangu mtoto wa mama mdogo, akifika pale marangu hamuuachii mama yake hata shs 10 kila siku sina sina, huku mjini dada zake tukimwambia basi leo tununulie hata kitochi cha mbege wimbo ni ule ule, sina sina,tulikuja kujua alimsomesha girlfrnd chuo,na mdada alimshika masikio haswaa, alikuwa akipungukiwa hata elfu 10 kwenye ada mdada anamgomea kwenda shule na mkaka anashtuka haswaa, mdada anamwambia tumfate yule dada yako lazima atakupa, tena yule umwambie akupe laki kabisa utamrudishia ili nipate na pocket money, nitatafutwa siku hiyo hapa mjini mpaka nipatikane na mdada kaweka kishoka kwenye gari anamsaidia kaka kunitafuta, alimaliza chuo kapata kazi hosp moja hapa mjini kammwaga kaka, juzi juzi namuuliza kaka hivi fulani yupo wapi siku hizi, ananiambia "achana na yule ma.la.ya baada ya kumsomesha kaniona sifai" na blah blah kibao, ndio mie nishangae zile sumbua zote kumbe na mie nimehusika kusomesha mtu? hahahahaha, na ubahili alionao? ni mbahili wa kufa mtu, lakini ni kwetu ndugu tu, kidunia ni kwamba "HAKUNA MWANAUME MBAHILI"
 
Sitaki... machale yashancheza huko tutakakoendelea...

okay, kwangu burungutu 2least kuanzia laki 7, tuendelee sasa, hutaki nini, endelea ujue na wewe ni wa maburungutu au vimkunjo tu unaviita burungutu, hahahah mtake msitake, kuhonga mtahonga kwa namna moja au nyingine.
 
inawezekana mwanzoni ulimuonyesha wewe ni ka ATM, sasa afanyeje

Wengi huwa wanakosea hapo. Anapomtokea binti anenda kimshiko mshiko, binti akishaingia mkenge na kuanza mizinga jamaa anamgeuka na kumnanga. Mnaboa! Matokeo yake wanajitapa na kauli kwamba "Samaki akishavuliwa na kungizwa mtumbwini hahitaji chambo".....§*#%¤&"ØÆ zenu!
 
ha ha ha bahili.com elfu themanini anatoa thread akiombwa laki 5 huyu!!!!!

Nna mademu kumi kama wewe sasa wote nikiwahonga hizo 80 si ntachekwa? Sorry kwa kukuaribia kitumbua chako ila hii thread imebidi niiweke ili mkome.
 
okay, kwangu burungutu 2least kuanzia laki 7, tuendelee sasa, hutaki nini, endelea ujue na wewe ni wa maburungutu au vimkunjo tu unaviita burungutu, hahahah mtake msitake, kuhonga mtahonga kwa namna moja au nyingine.

Hiyo minimum nshaivuka mara kibao... any way, unasisitiza sana hili neno "kwa namna moja au nyingine"... kama vile una kaufafanuzi...
 
mwanaume kweli unatoa povu kisa elfu 80
kama huna kwanini unapenda vya bei ghali?
kule mwafrika baa je, kwani nao wanataka kiasi hicho?
 
Hiyo minimum nshaivuka mara kibao... any way, unasisitiza sana hili neno "kwa namna moja au nyingine"... kama vile una kaufafanuzi...

si nimetoa mfano hao hapo juu wa my bro, ndio mana nasema kwa namna moja au nyingine, hata yeye alivyosomesha alihonga pia,si alikuwa anatoa fees na pocket money juu?
 
kudate watoto wa chuo kazi kweli kweli,hapa nimemnunulia baby wangu shati la pasaka laki na nusu
akifulia ninamtoa kiroho safi kama vipi
sasa huyu kaombwa elfu themaninin analia hapa ukimuomba vacation muende dubai si atakufa hapohapo?
 
mwanaume kweli unatoa povu kisa elfu 80
kama huna kwanini unapenda vya bei ghali?
kule mwafrika baa je, kwani nao wanataka kiasi hicho?

halafu sijui ni hawa wanaume wa kisasa/siku hizi, natamani ni confess kitu hapa ila tu ngoja niuchune, yaani mie nikimsikia mwanaume analalama hivyo sijui namuonaje vile, subirini wawe wife lakini hawa wakula nao gud time mtajikuna tu, loo bora mie wa enzi zile niliwafaidi wanaume...hahahahah
 
mimi kwa kweli nina bahati sana kupata mabinti ambao wao ndo hunipa hela kwa kazi nzuri niifanyayo kitandani!
 
wapo sana tu
tena mwanamme bahili anajua kupenda kishezi
 
kudate watoto wa chuo kazi kweli kweli,hapa nimemnunulia baby wangu shati la pasaka laki na nusu
akifulia ninamtoa kiroho safi kama vipi
sasa huyu kaombwa elfu themaninin analia hapa ukimuomba vacation muende dubai si atakufa hapohapo?

mwanaume huyo huyo kuna mwingine anampeleka, huyo wa elfu 80 pendo lake limeishilia magotini ama hamna pendo kabisa ana plan ya jamaa ilikuwa one night stand, kuna anaempa/kidhi mahitaji yake kabisa, bwana tumetoka huko hawa wanaume hakunaga/hawajazaliwa wabahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…