Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,346
si nimetoa mfano hao hapo juu wa my bro, ndio mana nasema kwa namna moja au nyingine, hata yeye alivyosomesha alihonga pia,si alikuwa anatoa fees na pocket money juu?
Huwa kuna wakati nawaza... kuhonga na kusaidia kuna tofauti? Maana utakuwa binti sawa na mtu wako, but ukitaka anavyokupa unaweza kupata kwa wengine kwa 1/10 ya hela ambayo unampa wakati akiwa na shida kama ada n.k. Sometimes huna mzuka naye kiviiile, hata akijitoa poa tu, lakini akianza kukulilia shida, ukawaza mlokotoka, anaona ngoja tu utoe kama sadaka...