"Dear nina shida na elfu 80 utansaidiaje" Duh! maisha yangekuwa easy kiasi hicho?

si nimetoa mfano hao hapo juu wa my bro, ndio mana nasema kwa namna moja au nyingine, hata yeye alivyosomesha alihonga pia,si alikuwa anatoa fees na pocket money juu?

Huwa kuna wakati nawaza... kuhonga na kusaidia kuna tofauti? Maana utakuwa binti sawa na mtu wako, but ukitaka anavyokupa unaweza kupata kwa wengine kwa 1/10 ya hela ambayo unampa wakati akiwa na shida kama ada n.k. Sometimes huna mzuka naye kiviiile, hata akijitoa poa tu, lakini akianza kukulilia shida, ukawaza mlokotoka, anaona ngoja tu utoe kama sadaka...
 
Nna mademu kumi kama wewe sasa wote nikiwahonga hizo 80 si ntachekwa? Sorry kwa kukuaribia kitumbua chako ila hii thread imebidi niiweke ili mkome.
hakomi mtu wewe, kupiga/kupigwa mzinga haijaanza leo na wala haitaisha kesho......!!!!!!!ha ha ha am proud kuzaliwa wa kike mieeeeeeeeeeeeee
 
kudate watoto wa chuo kazi kweli kweli,hapa nimemnunulia baby wangu shati la pasaka laki na nusu
akifulia ninamtoa kiroho safi kama vipi
sasa huyu kaombwa elfu themaninin analia hapa ukimuomba vacation muende dubai si atakufa hapohapo?

Yaani hiki kizazi ni bahili ajabu... Hapa mwenyewe pasaka naenda kula na baby wangu,,, sio fast jet wala precision ticket hazigusiki za kesho lakini sijakata tamaaa lazima nikale pilau la baby wangu pasaka.... Wanaume wavivu ndo wanaogopa majukumu.... Yaani elfu 80 tu hiyo hela ya hotel usiku mmoja tu inawatoa mapovu,,,
 
Khaaa!Ni sababu ipi inasababisha mtu aombe hela?
'
Kuna haja ya kila mtu kubaki na shida zake
'
Sitaki haja shilingi ya mwanamke hata kama ninalala mtaroni na yeye ni meneja wa Baclays bank!
'
Na yeye asiniambie chchote kuhusu hela
'
Kama atanipa atakua ametaka mwenyewe,siyo nimuombe,au nimkope tena kwa maandishi
'
Nikimpa nimetaka mwenyewe,sio aniombe,au anikope tena kwa maandishi
'
Mahusiano yako na mimi ni mapenzi tu!
 
Kuna wanawake wanahongwa chipsi mayai ya buku jero, ni wazuri, walaini, wanakata mauno, wanajituma kunako sita kama hawana akili nzuri...
Aliyehonga wa hivi na aliyehonga wa kwenda Dubai alafu akifika huko akatwika miwisky na mi wine analala kama shina la mgomba, nani kapata faida?
 
wapo sana tu
tena mwanamme bahili anajua kupenda kishezi

kuna tofauti kati ya kupenda na kutumika/kupretend, kuna mwanaume anaweza kukuingiza kingi ukajua huyu ndio mwanaume, upendo wa binadamu ni mpana, huyo anaependa kishenzi hawezi kulalama elfu 80, kuna wale ambao wakiombwa hawana na wanaeleweka kwamba hawana na wakiwa nayo unawajua wanayo na wanakupa,huyo hajakutana na anaempenda, mwanaume akupende kwa dhati, awe na future na wewe then kukutunza/kuhudumia inapobidi iwe ishu? awe mbahili kwangu? sijakutanaga na wanaume wa hivyo mie, sijui ni wa wapi hao, hahahahaha, mie siiiti kuhongwa, nilikuwa nahudumiwa/natuzwa, walikuwa sio niwaombe bali walikuwa wanajua wajibu wao.
 
Mi nimeweka pending invoices 3,haki wangejua how much it bores wasingekuwa
wanapiga mizinga hawa viumbe,ptuuuu kuiga life style za kina mange...
 
Khaaa!Ni sababu ipi inasababisha mtu aombe hela?
'
Kuna haja ya kila mtu kubaki na shida zake
'
Sitaki haja shilingi ya mwanamke hata kama ninalala mtaroni na yeye ni meneja wa Baclays bank!
'
Na yeye asiniambie chchote kuhusu hela
'
Kama atanipa atakua ametaka mwenyewe,siyo nimuombe,au nimkope tena kwa maandishi
'
Nikimpa nimetaka mwenyewe,sio aniombe,au anikope tena kwa maandishi
'
Mahusiano yako na mimi ni mapenzi tu!
hayo ni mapenzi gani yasiyokuwa na urafiki, yasiyokuwa na huruma wala kusaidiana na kukbebeana mizigo huku duniani?
mapenzi sio ngono ujue ..mapenzi ni life partner mtembee pamoja kwa upendo katika hayas maisha hapa duniani.since maisha hapa duniani yana furaha na shida ni wajibu wenu kushare nyakati hizo pamoja
mimi mtu kama hawezi kunisaidia kwa kweli siwezi kukaa nae . kama anaona shida zangu hazimuhusu basi hanifai ,acha nife na shida zangu
 
Yaani hiki kizazi ni bahili ajabu... Hapa mwenyewe pasaka naenda kula na baby wangu,,, sio fast jet wala precision ticket hazigusiki za kesho lakini sijakata tamaaa lazima nikale pilau la baby wangu pasaka.... Wanaume wavivu ndo wanaogopa majukumu.... Yaani elfu 80 tu hiyo hela ya hotel usiku mmoja tu inawatoa mapovu,,,

Hii ni aina ya ukahaba,mwanamke anaejitambua anawajibika kukidhi mahitaji yake,sio mpaka uhongwe!
 
Khaaa!Ni sababu ipi inasababisha mtu aombe hela?
'
Kuna haja ya kila mtu kubaki na shida zake
'
Sitaki haja shilingi ya mwanamke hata kama ninalala mtaroni na yeye ni meneja wa Baclays bank!
'
Na yeye asiniambie chchote kuhusu hela
'
Kama atanipa atakua ametaka mwenyewe,siyo nimuombe,au nimkope tena kwa maandishi
'
Nikimpa nimetaka mwenyewe,sio aniombe,au anikope tena kwa maandishi
'
Mahusiano yako na mimi ni mapenzi tu!
hayo ni mapenzi gani yasiyokuwa na urafiki, yasiyokuwa na huruma wala kusaidiana na kukbebeana mizigo huku duniani?
mapenzi sio ngono ujue ..mapenzi ni life partner mtembee pamoja kwa upendo katika hayas maisha hapa duniani.since maisha hapa duniani yana furaha na shida ni wajibu wenu kushare nyakati hizo pamoja
mimi mtu kama hawezi kunisaidia kwa kweli siwezi kukaa nae . kama anaona shida zangu hazimuhusu basi hanifai ,acha nife na shida zangu
besides mwili wangu anaoutumia na maisha yangu vina thamani sana kuliko hata misaada yake
 
Khaaa!Ni sababu ipi inasababisha mtu aombe hela?
'
Kuna haja ya kila mtu kubaki na shida zake
'
Sitaki haja shilingi ya mwanamke hata kama ninalala mtaroni na yeye ni meneja wa Baclays bank!
'
Na yeye asiniambie chchote kuhusu hela
'
Kama atanipa atakua ametaka mwenyewe,siyo nimuombe,au nimkope tena kwa maandishi
'
Nikimpa nimetaka mwenyewe,sio aniombe,au anikope tena kwa maandishi
'
Mahusiano yako na mimi ni mapenzi tu!

mapenzi bila kitu tumboni? kwamba sina hata hela ya kula na wewe mpenzi wangu nisikuambie? nikamwambie nani? hakuna mapenzi bila pesa, kwa pande zote mwanaume/mwanamke, mie msukuma anaweza kuniomba pesa na nikampa vizuri sana tu, na yeye anajuaga ni wajibu wake kunihudumia,hata yeye akibidi nampatia, but enzi za usichana wangu nilikuwa sitoi hata boxer kwa mwanaume, ya kazi gani, gift? gift my foot! sasa hivi ni wajibu wangu, msukuma sikumbuki mara ya mwisho kujifanyia shopping ni lini.
 
Smile ,kama mwenzako ana uwezo si umkope tena kwa maandishi?
'
Kwanini upewe tu hela kama imeokotwa?
'
Hela gani ya kupewa pewa tu?
'
Hiyo tafsiri yako ya mapenzi umeitoa wapi?
 
Last edited by a moderator:
Hii ni aina ya ukahaba,mwanamke anaejitambua anawajibika kukidhi mahitaji yake,sio mpaka uhongwe!

wengine hatuoni kama ni kuhongwa, tunaona kama ni kuhudumiwa! yap mie nilikuwa nahudumiwa na naendelea kuhudumiwa, nani anihudumie zaidi ya anipendae?
 
wanakushikiaga bunduki?
ni lazima uwe na demu?
si utumie dia sabuni.....chapa lapa na hela zako za mawazo.
Comments zako zina reflect what kind of a girl u 're,Ume jijengea mwanamke lazima apewe
hela,kwako wewe Money=>Love=>Sex, Uwe unalipa na kodi basi
au halalisha iyo business
 
Mi mara ya kwanza kabisa kumpa mwanamke ela nilimpa sh 2000. Iliniuma sana maana nilikuwa nimepewa pocket money 5000, nimeshatumia 1500 na nilipotoa hiyo elfu 2 ikabaki 1500 ambayo nilitakiwa kuibajeti hadi shule itakapofungwa miezi 5 ijayo! Niliteseka sana ile term maana hata 1500 ilikuwa natumia naye tena:angry: Nililaani sana na nikajiapiza sitakaa nihonge mwanamke... Pamoja na kujiapiza kote, ukiniambia saa hizi eti ndo natoa viburungutu.... kweli hii ni laana...
Hahahaahahahaah! umeapa lakini umerudi pale pale , unatoa mwenyewe bila kushikwa, chezea K wewe, utamu wake ukiambiwa uelezee huwezi unabaki tu Taaaaaaaaaaaaaamu!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Smile ,kama mwenzako ana uwezo si umkope tena kwa maandishi?
'
Kwanini upewe tu hela kama imeokotwa?
'
Hela gani ya kupewa pewa tu?
'
Hiyo tafsiri yako ya mapenzi umeitoa wapi?
 
Last edited by a moderator:
Smile ,kama mwenzako ana uwezo si umkope tena kwa maandishi?
'
Kwanini upewe tu hela kama imeokotwa?
'
Hela gani ya kupewa pewa tu?
'
Hiyo tafsiri yako ya mapenzi umeitoa wapi?
hutaki unaacha! hivi wanaume mmelogwa au ni nini? yaani kumsaidia mpenzi wako ni jambo linaitaji katiba?
 
Huwa kuna wakati nawaza... kuhonga na kusaidia kuna tofauti? Maana utakuwa binti sawa na mtu wako, but ukitaka anavyokupa unaweza kupata kwa wengine kwa 1/10 ya hela ambayo unampa wakati akiwa na shida kama ada n.k. Sometimes huna mzuka naye kiviiile, hata akijitoa poa tu, lakini akianza kukulilia shida, ukawaza mlokotoka, anaona ngoja tu utoe kama sadaka...

ndio, huyu tunaweza kusema amesaidiwa kupata elimu sawa, but wale wanaonunuliwa hadi magari ya kazi gani, mambo ya luxury hayo sio mkeo wala mchumba hao ndio mnaowahonga, mie nasema nahudumiwa coz ilikuwa sio lazima niombe, nilikuwa napewa, kwa wanawake humu ndani, kuna anaesema hajawahi kuhongwa kwenye usichana wake wote?
 
Mi nimeweka pending invoices 3,haki wangejua how much it bores wasingekuwa
wanapiga mizinga hawa viumbe,ptuuuu kuiga life style za kina mange...
huna true love
wanawake 3 wa nini? wacha uchunwe hadi soksi!
 
Back
Top Bottom