"Dear nina shida na elfu 80 utansaidiaje" Duh! maisha yangekuwa easy kiasi hicho?

Tukana matusi yote, lakini mwisho wa siku utazama kwenye pochi... na kama kumekauka utakopa...This thing between women's legs is a laana.
Ha ha ha Tuko umeongea ukweli mtupu..
 
Last edited by a moderator:
ndo nashangaa hata mimi nishajifunza huyu bado 80k anaanzisha thread...

"Women, cant live with them, cant live without them! "

mmmmh Mentor ni wewe au kuna mtu anachezea account yako?
 
Last edited by a moderator:
Smile me nakupEnda Sana japo sijakuona hata ukiniomba elfu themanini ntakupa Kama sina ntakopa
 
Last edited by a moderator:
ni hivi sipendi kuhonga lakin nakua na wasichana at the same time akinikimbia natafuta mwingine mpaka ntakae mpata siye na mizinga...usipohonga ukubali kukimbiwa nikikimbiwa natafuta mwingine...
 
Ahahahah! yaani dinner tu jamani ule mzigo, hata kama ni vitz, huko kwenye dinner naendaje, hujui ram anahitaji kupendeza, jamani kuwa na mwanamke ni gharama unless humpendi, 80000 ni hela ndogo mno
wewe ram ilibidi ukutane na mtu kama mim nakwambia ungekeuka Rom mwenyewe..wewe unatulia kwenye vitz tena sikufati kwenu unakuja na basi unadrop kituoni nakupitia nakupeleka kibandan cha chips unakula tunaenda zetu coco beach kula mihogo na mishkak...daahh nisimalizie routine zangu bure..na kama vp mafuta buku ten unaongeza nakula mzigo then nakurudisha..kwenu..shida zako usinletee maana hutaniskia mim hata cku moja nakupiga mzinga shida mpelekee mzee ram..over..
 
Na wewe siku moja m-text umwambie Dia, nina hamu sana ya TiGo, sasa utanisaidiaje?

Duu hii sasa laana yani mpenzi wako akuombe elfu 80 tuu kisha wewe ulipe kwa 0713, hii haijatulia kabisa.
Dada zetu au huwa mnalipaga kwa 0713 ?????
 
hapa mm nadaiwa hela ya easter bado hela ya mchango fulani huko college cna ajira ila ni street hustler but kitu kimoja mimi naamini wanawake wanataka hela kutoka kwetu wanaume coz mwisho wa siku mahesabu yanafungwa kitandani ngoma draw so hakuna kuwaza toa hela upate utamu
 
Hivi kwanini hawa watu hawakomi. Kila siku kazi yao kupiga mizinga. Hivi kila mtu angekua akihitaji hela anaomba tu maisha si yangekuwa easy. Watu tunapiga hustling za kufa mtu then jitu linakuja tu kuomba. "Dia babaako pambaf.. "

Kama wewe huhongi wenzio wanatoa bila kuombwa, Umasikini yu ndo unakusumbua ndo maana siku hizi wadada hawapendi kutembea na maskini ka ninyi, maana unaombwa elfu 80 tu unakuja kulalamika Humu, ungeombwa gari au M2 za kodi ya nyumba si ungeenda ustawi wa jamii kulalamika. Pole tafuta hela wala ukizipata tena utakuwa unatoa bila kulalamika, sasa hivi unasumbuliwa na umaskini
 
ukiona mtu analalamika hadharani ujue limbwata hili la asili halikumpata vema. la sivo angetulia kama ananyolewa kama ulivofanya enzi hizo
 
si mchezo
siku moja baba alikuwa akiniaga wakati naenda shule akaniasa niwe makini na wadada kwani nikienda hovo maisha yanaweza kuniharibikia kabisa. enzi hizo nilikuwa mtu wa imani sana nikamwabia baba hilo kwangu halitanikuta . baba akasema hakuna mwanamume anayeweza kukwepa kama ni mzima. sikumwelewa siku nilipojikuta nashikwa kisawasawa nikaikummbuka sentensi ya baba. pamoja na hayo ukiwa na imani nafasi ya kushinda ni kubwa zaaidi. tusijisifu sana madume kwani tumeanza tabia ya kuwatoa upepo kinaadada. jioni njema
 
Tukana matusi yote, lakini mwisho wa siku utazama kwenye pochi... na kama kumekauka utakopa...
This thing between women's legs is a laana.

Hahaa haaaaaaaa... Tuko inaelekea wewe ni mtoajii.. Saidia mimi laki moja tuu.. Sina kiwalo cha easter puliziiiiiii!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
MKATA KIU huenda mleta mada siyo mwanaume ni MVULANA hivyo wala usipate shida kaka.

Jamaa ana pocketi money na utamu anataka .. Wapi na wapi.. Toa mshiko upate mzigo lolz.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
toka nianze kudate sijawah kupigwa mzinga. yoyote atakaejidai kunipiga mzinga atajuta kunifahamu
 

maelezo yako yanachekesha na yanatia huruma pia yanakatisha tamaa.... yaani na yote yaliyokupata ukarudi kuonga tena heeee noma kweli
 
Hii ni shigdaaahh!!
Mwanaume kuonga hiyo ni given penda upendi!!!
 
yani 80,000 unalalamika!! hiyo ela ata haitoshi kwenda saluni.
 

Mwe! sasa kama una baby wako mnapeana milioni kadhaa Mkata Kiu unamtamani wa nini tena? Au unamaanisha huyu baby wako ni wa kuzugia si mchumba?
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…