"Dear nina shida na elfu 80 utansaidiaje" Duh! maisha yangekuwa easy kiasi hicho?

"Dear nina shida na elfu 80 utansaidiaje" Duh! maisha yangekuwa easy kiasi hicho?

Tumia Revola. Kama unaomba k.. lazima ujue kuhudumia. Kwanza nachukia mwanaume wa kuombwa! Unapaswa uelewe wajibu wako.
 
Jamaa maneno yako mbn ya ajabu wa ubavuni ni mke wewe jamaa kama unatoa hela hiyo wewe sasa hivi hatuhongi kama vipi watfute vibabu..issue ni mapenzi na kupeana mapenzi tu habari za shida nin na nin peleka kwenu..uelewe demu sio mke..


"Hahahaha daaah mim ni muumin wa falsafa ya kutohonga lakini nimeshakubaliana na ukweli kwamba usipohonga unakimbiwa so mpango mzima akizingua nahamia kwengine mpaka kieleweke aisee"


Lyamber mbona hueleweki au unacheki upepo unakoelekea??????????
 
Last edited by a moderator:
Tuacheni utani,, wanaume wa siku hizi tunajitia aibu,,, kweli dada zangu wana kazi,, sasa mpenzi wako amekwama elfu 80 tu kumsaidia inshu,,, kweli nimeamini wanaume wanaisha,,

poleni sana dada zangu,,, kumpa mpenzi wako hela sio kosa muhimu awe na sababu inayoeleweka anaomba kwa ajili ya nini...

Elfu themanini tu mtu unatoka povu hadi kumtusi mtu jamii forums,, tena ameomba ubavu wako mnaolala wote kama mlivyozaliwa,, ukiumwa yeye ndo anakuuguza, ukiwa na stress ye ndo anakupa furaha,,,

Kusema kweli mmetudhalilisha jinsia me kwa hii post

Unafaa sana wewe.
 
"Hahahaha daaah mim ni muumin wa falsafa ya kutohonga lakini nimeshakubaliana na ukweli kwamba usipohonga unakimbiwa so mpango mzima akizingua nahamia kwengine mpaka kieleweke aisee"


mbona hueleweki au unacheki upepo unakoelekea??????????

Jinsia yko tafadhali.
 
Jinsia yko tafadhali.

kama Evelyn ni jina la kiume basi ujue mi ni kidume!!!!!!!!!

hapo kwenye hiyo post nimeeka quotation mark " " hayo maneno kaandika Lyamber post namba 3 kwenye thread ya Notifeki kuhonga ni hulka ya vibabu vijana hatuhongi ng'o

ndo nimemuuliza mbona haeleweki.....nadhani umenipata.
 
Last edited by a moderator:
Mi mara ya kwanza kabisa kumpa mwanamke ela nilimpa sh 2000. Iliniuma sana maana nilikuwa nimepewa pocket money 5000, nimeshatumia 1500 na nilipotoa hiyo elfu 2 ikabaki 1500 ambayo nilitakiwa kuibajeti hadi shule itakapofungwa miezi 5 ijayo! Niliteseka sana ile term maana hata 1500 ilikuwa natumia naye tena:angry:

Nililaani sana na nikajiapiza sitakaa nihonge mwanamke... Pamoja na kujiapiza kote, ukiniambia saa hizi eti ndo natoa viburungutu.... kweli hii ni laana...

Ila mkuu kuna wengine wamezid,yaan mmeanza tu kufahamiana na hela tayar kakuomba!wengine hata hamjawah ongelea issue za kugegedana,yeye tayari kashaomba hela!n in reality unakuta hata rohoni huna mawazo naye..ooh I am broke,can u lend me 200,000 hapo ooh,my laptop is this n that plz buy me a new Laptop!etc! I hate dependent women wanaotanguliza matatizo yao mbele yaan hata hamna any love related issues!
I always admire independent women! Big up sana kwa wewe mdada unayejijua ni independent! N to those wanaodhan their job is to snatch men's money,wake up,u need to be independent,heshima yako itapanda zaidi!
 
Hahahaahahahaahah! umenifanya nicheke sana, yaani pesa hiyo kidogo sana nafikiri ni ya perfume na Pedy .

Hata perfume haitoshi kwa sababu perfume nzuri iliyotulia harufu inaanzia laki na ishini
 
Mtu hujamwita wala hujamlazimisha akutongoze, bali manyege yake ndiyo yamemtuma. Sasa iweje akitakiwa awajibike analalama mpaka JF? Koma kutongoza tongoza kama utapigwa mizinga.

Sasa manyege yanahusiana vipi na Pesa?? mie nimekutongoza ili nipige mikasi then nisepe afu we unaleta usista du wako hapa!! pambafyyyyyyy....ndio maana mimi nshaona vingi vinavyopiga mizinga ni vile vi-sista du fulani vinavyoigiza sinema za hollywood katika maisha halisia...na mara nyingi hivi vi-kuku vya kizungu kukimbia huwa haviwezi ila kula pumba na mshudu vinapenda kweli!!! mie bora njichukulie sabuni yangu mche wa buku 2500...kila siku kimoja maisha yanasonga.
 
hayo ni mapenzi gani yasiyokuwa na urafiki, yasiyokuwa na huruma wala kusaidiana na kukbebeana mizigo huku duniani?
mapenzi sio ngono ujue ..mapenzi ni life partner mtembee pamoja kwa upendo katika hayas maisha hapa duniani.since maisha hapa duniani yana furaha na shida ni wajibu wenu kushare nyakati hizo pamoja
mimi mtu kama hawezi kunisaidia kwa kweli siwezi kukaa nae . kama anaona shida zangu hazimuhusu basi hanifai ,acha nife na shida zangu
besides mwili wangu anaoutumia na maisha yangu vina thamani sana kuliko hata misaada yake

Mhhhh my Smile yaan una maana kumpa penzi mpenzio ni kutumika mwili wako?kwani wewe husikii utamu?
I agree kusaidiana ndo mtindo wa maisha,bt sio mambo ya kila siku uambiwe I am broke! I guess mleta mada ana-maanisha hawa ambao they think kazi ya 1 ya BF ni kuhonga!kama kweli ni mpenz wako as mpenz,why ulalamike ukimsaidia?mbona ndo inavotakiwa na ndo U-gentlemen jamani!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaahahahaahah! umenifanya nicheke sana, yaani pesa hiyo kidogo sana nafikiri ni ya perfume na Pedy .

Hata perfume haitoshi kwa sababu perfume nzuri iliyotulia harufu inaanzia laki na ishini

Hata mie nimecheka sana....bora umekuwa wazi kutudhihirishia hapa jamvini kwamba...wewe ni mchafu na unanuka ndio maana unatumia pafyumu ambazo unajua ukitupulizia kidogo tu itaondoa lile shombo la samaki....teheteheteheeee...mwanamke wa kweli kitu pureeee...kikipigwa maji tu tosha...No fangasi, No mijiharufu inayofanana na shombo la samaki
 
Ila mkuu kuna wengine wamezid,yaan mmeanza tu kufahamiana na hela tayar kakuomba!wengine hata hamjawah ongelea issue za kugegedana,yeye tayari kashaomba hela!n in reality unakuta hata rohoni huna mawazo naye..ooh I am broke,can u lend me 200,000 hapo ooh,my laptop is this n that plz buy me a new Laptop!etc! I hate dependent women wanaotanguliza matatizo yao mbele yaan hata hamna any love related issues!
I always admire independent women! Big up sana kwa wewe mdada unayejijua ni independent! N to those wanaodhan their job is to snatch men's money,wake up,u need to be independent,heshima yako itapanda zaidi!

Hapa umenena mkuu unajua wasichana wengi wa kibongo wanapenda kuishi maisha ya kwenye movie ilihali pesa haiwaruhusu kufanya wanayoyataka ndo maana mara nyingi utawakuta wanalia njaa hapa mjini hebu fikiria mtu una uhusiano nae hata wiki moja haijapita kashaumwa zaidi ya mara 3 na hizo zote anapiga mizinga. Mbaya zaidi washajiwekea hiyo system na ni weakness kubwa sana kwa wanawake wengi
 
kuna m-zombie uliniambia kuwa una shida ya kilo 3 fasta,nitafuta na namba yake ili kila mara akinitafuta nimuulize 'Wewe nani Tena?'
 
nyambafuuuuuuuu kama hela huna sepaaaaa sasa humu jf unatukana wanajamvi au? hahahahaaaaaaaa sipati picha unapoombwa hela unasema chukua honey kwenye pochi au unapewa ATM card then unaanza kujuta kwani unamwogopa cukatae kama vip, respect kwa wadada hawa jamaa mbele yetu ni mabubu.
 
shangaa ss..ukiwa na mwenzi mkusaidiana muhim..ata mwanaume kuna siku aneza kwama alaf msichana akasaidia..ndo maana ya kua na mwenzi
si ndio hawa hawa wanaoleta thread za kulialia humu ndani wanasalitiwa na madem zao...maana elfu 80 tu umekuja JF.. akikwambia umlipie kodi si utakwenda kushtak polisi...
 
Back
Top Bottom