"Dear nina shida na elfu 80 utansaidiaje" Duh! maisha yangekuwa easy kiasi hicho?

"Dear nina shida na elfu 80 utansaidiaje" Duh! maisha yangekuwa easy kiasi hicho?

Yani elfu 80 tu ndo unakuja kulia huku jf?wenzio tunahonga BMW na hatujali wala.
 
419210_10151283670762019_589634818_n.jpg
Hiviiiiii......kwambaaa....yani yani ...Ngoja kwanza.
nitasema siku nyingine.
avatar48795_26.gif
 
Elfu 80 tu unakuja kuanzisha thread JF...are you serious!? Kabla hilo 'jitu' halijaja kukuomba, ni lazima ulianza kuliomba wewe...sa iweje we 'uombe' nawe 'ukiombwa' unakimbilia thread JF!? Grow up...

mkuu kila ng'ombe anakula urefu wa kamba yake,mwingine anabeba box za kufa mtu ndo anapata
elfu 10,mwingine docter,mgonjwa akimuona tu anaacha 20 hahahaha
 
Kama unanipenda utaitoa tu hlf 80,000 kitu gani, hiyo si niyakuwekea mafuta tu kwenye gari
 
Tuacheni utani,, wanaume wa siku hizi tunajitia aibu,,, kweli dada zangu wana kazi,, sasa mpenzi wako amekwama elfu 80 tu kumsaidia inshu,,, kweli nimeamini wanaume wanaisha,,

poleni sana dada zangu,,, kumpa mpenzi wako hela sio kosa muhimu awe na sababu inayoeleweka anaomba kwa ajili ya nini...

Elfu themanini tu mtu unatoka povu hadi kumtusi mtu jamii forums,, tena ameomba ubavu wako mnaolala wote kama mlivyozaliwa,, ukiumwa yeye ndo anakuuguza, ukiwa na stress ye ndo anakupa furaha,,,

Kusema kweli mmetudhalilisha jinsia me kwa hii post
hii ni sauti ya mwanaume .......... likes
 
Ha ha ha ha ha wadada bwana....naona mmeishahalalisha kuhongwa...yaani mnaona kama ni haki yenu ya msingi kabisaaa

Ndo maana na sisi tushawafanya bidhaa-like,tunawapiga,tunawapa pesa,tunawamwaga.......ha ha ha hah ha

Yule anayeonesha kaupeo atleast(maana sidhani kama kuna mwenye upeo ndani yenu) ndo tunamuoa......

Maisha matamu sana usipoyakomplicate...

Tuendelee......

NB.Hii haiwahusu wanawake gfsonwin-like
 
kha, wewe! umeshawahi kupenda? ni wako una future nae/unampenda kwa dhati? amepata ishu na 80elfu atakuwa dada poa? akipewa huko hamuishi kuja kulalama hapa ohhh hawajatullia, ohhh ahhh, hamuwatulizi, mbona mie sio ishu kwangu kukupa hiyo 80 ukihiitaji?

We nawe sijui umekurupukia wapi!My monay or your monay has nothing to do with our future or love,get that!
 
Kwi kwi kwi mzee wa kucheza peku na kukimbia mimba....kama ishu ndogo ya mimba umeikimbia itakua kuoa? Eti tunaoaga...waache responsible and mature men wazungumze
Ha ha ha ha ha wadada bwana....naona mmeishahalalisha kuhongwa...yaani mnaona kama ni haki yenu ya msingi kabisaaa

Ndo maana na sisi tushawafanya bidhaa-like,tunawapiga,tunawapa pesa,tunawamwaga.......ha ha ha hah ha

Yule anayeonesha kaupeo atleast(maana sidhani kama kuna mwenye upeo ndani yenu) ndo tunamuoa......

Maisha matamu sana usipoyakomplicate...

Tuendelee......

NB.Hii haiwahusu wanawake gfsonwin-like
 
hutaki unaacha! hivi wanaume mmelogwa au ni nini? yaani kumsaidia mpenzi wako ni jambo linaitaji katiba?

Kumsaidia?Kusaidia gani huko?Unapiga simu jicho kavu eti naomba elfu 80,khaaaaaaa!Kama unashida kwanini usiseme ukopeshwe?Tena kwa maandishi?Mbona mnapenda kupewa pewa?Si muwajibike na matatizo yenu kama mnajiweza?
 
Unamwambia daaah mim mwenyewe mbona mkavu nilikua nashinda na 150k..sijui tunafanyaje hapo...hapo lazima atakaaaa humo..!
 
Kama unanipenda utaitoa tu hlf 80,000 kitu gani, hiyo si niyakuwekea mafuta tu kwenye gari

Gari gani nkt niko na vitz mafuta ya buku 20000 mamaliza wiki full kipupwe na wikend gambe kama kenya...kama unataka kuhonga tafuta kibabu mim kazi yangu ni kupiga mishe kukutoa wikend dinner kula mzigo nimemaliza..na kushine kama mnyamwez kwenye vitz hahahaha
 
Tuacheni utani,, wanaume wa siku hizi tunajitia aibu,,, kweli dada zangu wana kazi,, sasa mpenzi wako amekwama elfu 80 tu kumsaidia inshu,,, kweli nimeamini wanaume wanaisha,,

poleni sana dada zangu,,, kumpa mpenzi wako hela sio kosa muhimu awe na sababu inayoeleweka anaomba kwa ajili ya nini...

Elfu themanini tu mtu unatoka povu hadi kumtusi mtu jamii forums,, tena ameomba ubavu wako mnaolala wote kama mlivyozaliwa,, ukiumwa yeye ndo anakuuguza, ukiwa na stress ye ndo anakupa furaha,,,

Kusema kweli mmetudhalilisha jinsia me kwa hii post

Jamaa maneno yako mbn ya ajabu wa ubavuni ni mke wewe jamaa kama unatoa hela hiyo wewe sasa hivi hatuhongi kama vipi watfute vibabu..issue ni mapenzi na kupeana mapenzi tu habari za shida nin na nin peleka kwenu..uelewe demu sio mke..
 
Tuacheni utani,, wanaume wa siku hizi tunajitia aibu,,, kweli dada zangu wana kazi,, sasa mpenzi wako amekwama elfu 80 tu kumsaidia inshu,,, kweli nimeamini wanaume wanaisha,,

poleni sana dada zangu,,, kumpa mpenzi wako hela sio kosa muhimu awe na sababu inayoeleweka anaomba kwa ajili ya nini...
Unatafuta usifiwe wewe huna lolote!!unataka kujustfy mizinga??kama umelala amka kijana sio sifa!!hakuna ataekuona mjanja kwa kuchunwa sana!!

Elfu themanini tu mtu unatoka povu hadi kumtusi mtu jamii forums,, tena ameomba ubavu wako mnaolala wote kama mlivyozaliwa,, ukiumwa yeye ndo anakuuguza, ukiwa na stress ye ndo anakupa furaha,,,

Kusema kweli mmetudhalilisha jinsia me kwa hii post
Unatafuta usifiwe wewe huna lolote!!unataka kujustfy mizinga??kama umelala amka kijana sio sifa!!hakuna ataekuona mjanja kwa kuchunwa sana!!
 
We una matatizo sana! Kama huna si umwambie huna! Mtu kapatwa na shida akaona wewe mpenzi wake unaweza kumsaidia alaf wewe unaanza kumponda! Kwani kama huna si umwambie huna tuu, unaogopa nini?
 
Ahahahah! yaani dinner tu jamani ule mzigo, hata kama ni vitz, huko kwenye dinner naendaje, hujui ram anahitaji kupendeza, jamani kuwa na mwanamke ni gharama unless humpendi, 80000 ni hela ndogo mno
Gari gani nkt niko na vitz
mafuta ya buku 20000 mamaliza wiki full kipupwe na wikend gambe kama
kenya...kama unataka kuhonga tafuta kibabu mim kazi yangu ni kupiga
mishe kukutoa wikend dinner kula mzigo nimemaliza..na kushine kama
mnyamwez kwenye vitz hahahaha
 
Back
Top Bottom