heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,042
- 13,383
Hakika ulikuwa unacheza na kifo bila kujua, imagine walikuwa wanashoot to randomly kama wanaua nguruwe porikwa tuliofanikiwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine salama tumshukuru Mungu Sana,tulishuhudia ukimya wa ajabu Yaani Barabara nzima uko peke yako lakini automatic unakosa Amani!!
Baada ya internet kurudi ndo nikaamini Kumbe nilikuwa nacheza na kifo!
Hiyo risasi ndio mlioitoq hapo kwenye geti la kuslide?Kama Sio Mungu na akili za kusurvive basi nisingekuwapo Nyumba yetu imetawaliwa na matobo ya risasi, kibaraza watu walichokuwa wanaketi watu ilibaki kidgo wamwagwe utumbo.
Nilikuwa mlangoni getini majirani walikuwa nje wameketi wala hawakuwa na nia ovu , nageuza shingo naona umbali wa mita 60 askar wamevaa kiraia mmoja kakoki smg uelekeo wetu alikuwa anautazama, kwa akili yangu nikaona hapa kuna jambo nikamwaambia majirani kimbieni yule anapiga huku kweli namaliza maneno dk ile ile ikatua pale pale kibarazni
Napambana kurudi ndani ile naingia tu naskia paaa pale pale getin so ilikuwa ni sekunde tu ningechelewa ningekula ya kichwa
View attachment 3509150 je wewe ilikuwajeView attachment 3509153
Hawakuwa wakishoot rondomly walikuwa watarget watuHakika ulikuwa unacheza na kifo bila kujua, imagine walikuwa wanashoot to randomly kama wanaua nguruwe pori
Hali hii ilinipata pia. Tarehe 30 nilitoka na bajaj maeneo ya Maili Mbili, Dodoma mpaka Uwanja wa Jamhuri ambapo dereva alisema anaishia hapo maana mjini hakuingiliki. Nilishuka na kuanza kutembea mpaka General Hospital ili nipate usafiri mwingine wa kufika Nzuguni.kwa tuliofanikiwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine salama tumshukuru Mungu Sana,tulishuhudia ukimya wa ajabu Yaani Barabara nzima uko peke yako lakini automatic unakosa Amani!!
Baada ya internet kurudi ndo nikaamini Kumbe nilikuwa nacheza na kifo!
Kuna maeneo walikua wanashoot randomly. Pale big brother zilipaki gari mbili moja kwenye njia ya kuingilia tandare. Nyingine njia ya kuingilia mabibo. Nenda kaulize waliosalimika wakupe story ilikuajeHawakuwa wakishoot rondomly walikuwa watarget watu
Ukiona imekupata ujue wamekulenga weweKuna maeneo walikua wanashoot randomly. Pale big brother zilipaki gari mbili moja kwenye njia ya kuingilia tandare. Nyingine njia ya kuingilia mabibo. Nenda kaulize waliosalimika wakupe story ilikuaje
Wapi huko kulikokua na amani hivyoPolen huku kwetu tulikua tuna sikia miji jiran tu, ila kwetu tulikua tukiendelea kuchagua samaki na fungu za nyanya rabda tu pale police walikuja na kuamuru watu warudi majumban biashara zkafungwa.
pakawa peupe pee kama zile muvi za mazombi miji iliyotelekezwa
Kikwethe ametuharibia sana nchiYote hayo yalifanywa ili hii familia itawale
View attachment 3509178
Yes walikuwa wanatarget yoyote aliekuwa ktk sight yaoHawakuwa wakishoot rondomly walikuwa watarget watu
D9 again..Tulibebwa na makarandinga ya jeshi kutoka vigwaza (hapo tulilala siku mbili nikitokea mkoani) mpaka mjini,
Morogoro road ili kua nyeupe magari ya jeshi na ambulance ndio tulipishana nazo, kasheshe nilivyoshushwa kutoka kwenye karandinga kuitafuta nyumbani ni mtiti. Kila sehemu wajeda wametanda.
Kuna sehemu boda alisimamishwa tulinyosha mikono juu akaniulia kwenye beji Kuna nini wakati namjibu nikasikia vyuma vinajikoki! haloo!Huruma ya mjeda tu hajabonyeza kitufe.