Hiyo miji inaitwa Ghost town.Polen huku kwetu tulikua tuna sikia miji jiran tu, ila kwetu tulikua tukiendelea kuchagua samaki na fungu za nyanya rabda tu pale police walikuja na kuamuru watu warudi majumban biashara zkafungwa.
pakawa peupe pee kama zile muvi za mazombi miji iliyotelekezwa
Tuko wengi mini nilitoka kiluvya mpaka mbezi. Kwa bike saa 4 usiku Ile nafika kibamba nikawa nashangaa pikipiki ya ccm inawaka ghafla dogo mmoja alikuwa amejificha kwenye kichaka akanistua bro wanakuja kucheki naona hard top nyeupe inakujakwa tuliofanikiwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine salama tumshukuru Mungu Sana,tulishuhudia ukimya wa ajabu Yaani Barabara nzima uko peke yako lakini automatic unakosa Amani!!
Baada ya internet kurudi ndo nikaamini Kumbe nilikuwa nacheza na kifo!
Ukajificha au walikupita Tu?Tuko wengi mini nilitoka kiluvya mpaka mbezi. Kwa bike saa 4 usiku Ile nafika kibamba nikawa nashangaa pikipiki ya ccm inawaka ghafla dogo mmoja alikuwa amejificha kwenye kichaka akanistua bro wanakuja kucheki naona hard top nyeupe inakuja
Hapo kwa mudi katika vijana walokufa wawili, yule alovaa jezi ya simba ni jamaa yangu kamaliza chuo mwaka jana halafu hiyo siku katoka home ile safi kisela mida tunavutiwa waya jamaa wamemuwahisha kwa kina ndugai na magufuli.Hali hii ilinipata pia. Tarehe 30 nilitoka na bajaj maeneo ya Maili Mbili, Dodoma mpaka Uwanja wa Jamhuri ambapo dereva alisema anaishia hapo maana mjini hakuingiliki. Nilishuka na kuanza kutembea mpaka General Hospital ili nipate usafiri mwingine wa kufika Nzuguni.
Nilikuwa nikitembea barabara ya 8 na kupandisha mpaka nilipofika Safina House. Ukimya ulikuwa mkubwa. Nilipishana na magari matatu ya Polisi. Hawakuniuliza kitu. Mitaa mingi ilifungwa kwa utepe wa Polisi, maana yake nilikuwa naongozwa kutembea barabara hiyo hiyo bila ya kukata kulia wala kushoto.
Mfano, kama kungekuwa na snippers kama wanavyodai watu wa Dar, biashara yangu ingeishia siku hii.
Baada ya internet kurudi, ndipo nilipogundua kuwa nilikuwa nabet na maisha yangu. Ilikuwa ni hatari sana kufanya safari ile.
Pia nilipata shida sana wakati wa kurudi. Usafiri haukuwepo. Nauli zilipanda mara tatu na usafiri haukupatikana kwa urahisi. Nilipata boda boda na akaniambia nauli ni 25,000/= kutoka Nzuguni mpaka Maili Mbili. Nilivutana nae mpaka tukakubaliana 20,000/= maana muda huo ilikuwa ni saa 2 usiku.
Barabara ilikuwa kimya na tulipofika Kwa Mudi, Maili Mbili nilikuta barabara imechafuka kwa mawe na takataka. Nikaambiwa kulikuwa na purukushani za Polisi na raia na vijana wawili walikufa kwa risasi.
Nilipofika nyumbani, nikampigia boss wangu na kumwambia sitaweza kwenda tena kazini mpaka hali itakapotulia.
Ndugu yangu mmoja huko mkoani flani yupo na frem ya biashara , hawa jamaa walikua wanapita wakilazimisha , kufunga Milango ya Frem ya maduka yao , huku zingine zikifyatuliwa juu, anasema ndo walikua wanakaribia kwake so alichofanya akaona mambo yasiwe mengi akazifungia ndani , anasema imefika saa nne eneo lote lipo tulivu ,akafungua kuangali haoni hata mmoja eneo limetulia ,alichokifanya akarudi zake ndani akalala ndani ya flemu mpaka hasubuhi,kwa tuliofanikiwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine salama tumshukuru Mungu Sana,tulishuhudia ukimya wa ajabu Yaani Barabara nzima uko peke yako lakini automatic unakosa Amani!!
Baada ya internet kurudi ndo nikaamini Kumbe nilikuwa nacheza na kifo!
Nd
Ndugu yangu mmoja huko mkoani flani yupo na frem ya biashara , hawa jamaa walikua wanapita wakilazimisha , kufunga Milango ya Frem ya maduka yao , huku zingine zikifyatuliwa juu, anasema ndo walikua wanakaribia kwake so alichofanya akaona mambo yasiwe mengi akazifungia ndani , anasema imefika saa nne eneo lote lipo tulivu ,akafungua kuangali haoni hata mmoja eneo limetulia ,alichokifanya akarudi zake ndani akalala ndani ya flemu mpaka hasubuhi,
Ile 29oct watu wengi hawakutarajia kilichotokea , but next time 9D nafikili watu watakuja na mbinu mbalimbali.
Hata vita ya kagera wakati vita inaanza wananchi wa mkoa wa Kagera walikua hawajatafiti njia mbadala ila ilivyokolea walizujua .
Mfano uyo ndugu ambae chuma imekuna na get ,na kwa kuwa ni nyumbani kwao anajua sehemu nyingi za kujibanza so angekua na mishale alikua na uwezo kutungua viuno hao wajinga
Wengine walikua wanacheza maeneo yaleyale polisi walipo ila kwa kujificha kwenye vichochoro hadi polisi wakakimbia likaja jeshi... Hapa Arusha polisi walipojua barabara zote zitafungwa na wananchi alafu wananchi waanze kuwazunguka ilibidi wakimbie mapema wakaja wanajeshi walioonesha urafiki mkubwa na wananchi hadi wakawa wanashirikiana kusafisha yale maeneo yaliyokua hayapitikikwa tuliofanikiwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine salama tumshukuru Mungu Sana,tulishuhudia ukimya wa ajabu Yaani Barabara nzima uko peke yako lakini automatic unakosa Amani!!
Baada ya internet kurudi ndo nikaamini Kumbe nilikuwa nacheza na kifo!
Hupo sahii , bora kutoka yapo maeneo mengi ya kujibanza ,na kufanya mahamuzi kwa wakati kuliko kubaki ndani, ambapo wakikuta option inakua ndogoWatu wajiandae tu, Either unatoka au Hutoki.
Sasa unawesa kusema wewe huandamani, JanjaWeed wakakufata huko huko nyumbani na mke wako wakulambe chuma.
Hawa mbwa waliokimbia shule hata mimi walinikosa kosa kunipiga risasi. Na shida yao kuu ilikuwa ni kulazimisha watu wote kuwa ndani, tena asubuhi au mchana wa jua kali.kwa tuliofanikiwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine salama tumshukuru Mungu Sana,tulishuhudia ukimya wa ajabu Yaani Barabara nzima uko peke yako lakini automatic unakosa Amani!!
Baada ya internet kurudi ndo nikaamini Kumbe nilikuwa nacheza na kifo!
Mimi nilikua natembea na masela wangu nikachepuka kununua siagara na energy daaah nikasikia chuma zinalia ningekua mmoja wao nasali sana tangu siku hiyo lakin d9 ntakua na umakin mkubwaKama Sio Mungu na akili za kusurvive basi nisingekuwapo Nyumba yetu imetawaliwa na matobo ya risasi, kibaraza watu walichokuwa wanaketi watu ilibaki kidgo wamwagwe utumbo.
Nilikuwa mlangoni getini majirani walikuwa nje wameketi wala hawakuwa na nia ovu , nageuza shingo naona umbali wa mita 60 askar wamevaa kiraia mmoja kakoki smg uelekeo wetu alikuwa anautazama, kwa akili yangu nikaona hapa kuna jambo nikamwaambia majirani kimbieni yule anapiga huku kweli namaliza maneno dk ile ile ikatua pale pale kibarazni
Napambana kurudi ndani ile naingia tu naskia paaa pale pale getin so ilikuwa ni sekunde tu ningechelewa ningekula ya kichwa
View attachment 3509150 je wewe ilikuwajeView attachment 3509153
Nasikia mwingine alikuwa ni mdada.Hapo kwa mudi katika vijana walokufa wawili, yule alovaa jezi ya simba ni jamaa yangu kamaliza chuo mwaka jana halafu hiyo siku katoka home ile safi kisela mida tunavutiwa waya jamaa wamemuwahisha kwa kina ndugai na magufuli.
Una baraa wewe 🤭Mafunzo ya mgambo yalinisaidia kuikwepa risasi.niliona wameelekeza mtutu kwangu nikalaa chini.kitendo tu Cha kuinama nilale ikapita juu ya kichwa changu hadi ikakwangua kidogo nywele zangu kichwani.pamoja na kunikosakosa lakini tarehe tisa December lazima nikinukishe.