PostGE2025 Death line and life line on 29 October ukumbusho wangu ni huu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Watu wengi walikutana na mbungi pasipo kujua,maana mtandao ungekuwa active ingekuwa rahisi sana watu kupashana habari na kuepukika.Wengi hawakutarajia
 
Hiyo miji inaitwa Ghost town.
 
kwa tuliofanikiwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine salama tumshukuru Mungu Sana,tulishuhudia ukimya wa ajabu Yaani Barabara nzima uko peke yako lakini automatic unakosa Amani!!
Baada ya internet kurudi ndo nikaamini Kumbe nilikuwa nacheza na kifo!
Tuko wengi mini nilitoka kiluvya mpaka mbezi. Kwa bike saa 4 usiku Ile nafika kibamba nikawa nashangaa pikipiki ya ccm inawaka ghafla dogo mmoja alikuwa amejificha kwenye kichaka akanistua bro wanakuja kucheki naona hard top nyeupe inakuja
 
Ukajificha au walikupita Tu?
 
Hapo kwa mudi katika vijana walokufa wawili, yule alovaa jezi ya simba ni jamaa yangu kamaliza chuo mwaka jana halafu hiyo siku katoka home ile safi kisela mida tunavutiwa waya jamaa wamemuwahisha kwa kina ndugai na magufuli.
 
Nd
kwa tuliofanikiwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine salama tumshukuru Mungu Sana,tulishuhudia ukimya wa ajabu Yaani Barabara nzima uko peke yako lakini automatic unakosa Amani!!
Baada ya internet kurudi ndo nikaamini Kumbe nilikuwa nacheza na kifo!
Ndugu yangu mmoja huko mkoani flani yupo na frem ya biashara , hawa jamaa walikua wanapita wakilazimisha , kufunga Milango ya Frem ya maduka yao , huku zingine zikifyatuliwa juu, anasema ndo walikua wanakaribia kwake so alichofanya akaona mambo yasiwe mengi akazifungia ndani , anasema imefika saa nne eneo lote lipo tulivu ,akafungua kuangali haoni hata mmoja eneo limetulia ,alichokifanya akarudi zake ndani akalala ndani ya flemu mpaka hasubuhi,

Ile 29oct watu wengi hawakutarajia kilichotokea , but next time 9D nafikili watu watakuja na mbinu mbalimbali.

Hata vita ya kagera wakati vita inaanza wananchi wa mkoa wa Kagera walikua hawajatafiti njia mbadala ila ilivyokolea walizujua .

Mfano uyo ndugu ambae chuma imekuna na get ,na kwa kuwa ni nyumbani kwao anajua sehemu nyingi za kujibanza so angekua na mishale alikua na uwezo kutungua viuno hao wajinga
 
Watu wajiandae tu, Either unatoka au Hutoki.

Sasa unawesa kusema wewe huandamani, JanjaWeed wakakufata huko huko nyumbani na mke wako wakulambe chuma.
 
kwa tuliofanikiwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine salama tumshukuru Mungu Sana,tulishuhudia ukimya wa ajabu Yaani Barabara nzima uko peke yako lakini automatic unakosa Amani!!
Baada ya internet kurudi ndo nikaamini Kumbe nilikuwa nacheza na kifo!
Wengine walikua wanacheza maeneo yaleyale polisi walipo ila kwa kujificha kwenye vichochoro hadi polisi wakakimbia likaja jeshi... Hapa Arusha polisi walipojua barabara zote zitafungwa na wananchi alafu wananchi waanze kuwazunguka ilibidi wakimbie mapema wakaja wanajeshi walioonesha urafiki mkubwa na wananchi hadi wakawa wanashirikiana kusafisha yale maeneo yaliyokua hayapitiki
 
Mafunzo ya mgambo yalinisaidia kuikwepa risasi.niliona wameelekeza mtutu kwangu nikalaa chini.kitendo tu Cha kuinama nilale ikapita juu ya kichwa changu hadi ikakwangua kidogo nywele zangu kichwani.pamoja na kunikosakosa lakini tarehe tisa December lazima nikinukishe.
 
Watu wajiandae tu, Either unatoka au Hutoki.

Sasa unawesa kusema wewe huandamani, JanjaWeed wakakufata huko huko nyumbani na mke wako wakulambe chuma.
Hupo sahii , bora kutoka yapo maeneo mengi ya kujibanza ,na kufanya mahamuzi kwa wakati kuliko kubaki ndani, ambapo wakikuta option inakua ndogo
 
kwa tuliofanikiwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine salama tumshukuru Mungu Sana,tulishuhudia ukimya wa ajabu Yaani Barabara nzima uko peke yako lakini automatic unakosa Amani!!
Baada ya internet kurudi ndo nikaamini Kumbe nilikuwa nacheza na kifo!
Hawa mbwa waliokimbia shule hata mimi walinikosa kosa kunipiga risasi. Na shida yao kuu ilikuwa ni kulazimisha watu wote kuwa ndani, tena asubuhi au mchana wa jua kali.
 
Mimi nilikua natembea na masela wangu nikachepuka kununua siagara na energy daaah nikasikia chuma zinalia ningekua mmoja wao nasali sana tangu siku hiyo lakin d9 ntakua na umakin mkubwa
 
Hapo kwa mudi katika vijana walokufa wawili, yule alovaa jezi ya simba ni jamaa yangu kamaliza chuo mwaka jana halafu hiyo siku katoka home ile safi kisela mida tunavutiwa waya jamaa wamemuwahisha kwa kina ndugai na magufuli.
Nasikia mwingine alikuwa ni mdada.
 
Una baraa wewe 🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…