joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahaha, hata USA wana kiwango cha juu sana cha " crime", does it make you comfortable if Kenyans are killed daily?.Naona egypt 103, ghana 72, US 105, SA 53
Looks like debt si kitu mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, hata USA wana kiwango cha juu sana cha " crime", does it make you comfortable if Kenyans are killed daily?.Naona egypt 103, ghana 72, US 105, SA 53
Looks like debt si kitu mbaya
Wakati wakikuyu na Kalenjin wachache wanajivinjari hapo Nairobi, mamilioni ya waturkana, Samburu, Mijikenda, Pokots na Jalua wanakufa kwa njaa na wanatumia mkojo wa mifugo yao kama MAJI ya kunywa.Sasa hutaki tujivinjari? Its our right bana
Unaona jinsi walivyo na Afya nzuri?, hao ni jamii ya wawindaji, hapo wanapata nyama waliyowinda, hawana njaa wala shida haoView attachment 1220946Sasa mbona usiwe mkweli? These are the Hadza people from Tz eating a Baboon.
Nilitaka kumuonyesha mwenzako aliyejitoa fahamu kuwa maisha haya hayapo Tz.Unaona jinsi walivyo na Afya nzuri?, hao ni jamii ya wawindaji, hapo wanapata nyama waliyowinda, hawana njaa wala shida hao
Wakati wakikuyu na Kalenjin wachache wanajivinjari hapo Nairobi, mamilioni ya waturkana, Samburu, Mijikenda, Pokots na Jalua wanakufa kwa njaa na wanatumia mkojo wa mifugo yao kama MAJI ya kunywa.
Hawa hapaKemu walete hao mamilioni tuwaone
Nchi fukara wa rasilimali na uchumi kama Kenya utashangaa wakikuambia mbona Japan inaongoza? Hapo ndio utajua njaa ya ubongo ina impact gani
Karibu asilimia tisini ya wakalenjin huishi mashambani kwa kuwa ni wakulima. Ulitoa wapi data zako?Wakati wakikuyu na Kalenjin wachache wanajivinjari hapo Nairobi, mamilioni ya waturkana, Samburu, Mijikenda, Pokots na Jalua wanakufa kwa njaa na wanatumia mkojo wa mifugo yao kama MAJI ya kunywa.
Nimesema na Kalenjin wachache. Lete " Composition " ya makabila ya wafanyakazi serikalini kuanzia Mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi, majaji, na vyeo vya juu katika mashirika ya serikali ya Kenya, 85% ni wakikuyu na Kalenjin pekee.Karibu asilimia tisini ya wakalenjin huishi mashambani kwa kuwa ni wakulima. Ulitoa wapi data zako?
Leta source ya hii 85%?Nimesema na Kalenjin wachache. Lete " Composition " ya makabila ya wafanyakazi serikalini kuanzia Mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi, majaji, na vyeo vya juu katika mashirika ya serikali ya Kenya, 85% ni wakikuyu na Kalenjin pekee.
Kuna mtu huwa anatuletea hapa data za Zitto Kabwe...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116] View attachment 1220670
Acha Maneno yako wewe, muulize Tony254 atakupa composition ya serikali yenu, tulishaletewa hapa na tukalijadili hilo, Tony254, alikubali hiyo list ni ukweli, 85% ni wakikuyu na Kalenjin tu.Leta source ya hii 85%?
What I know is that the Kikuyus account for 22% of the government workforce while the Kalenjins are at 12.8% and the Luhyas at 12.2%!
Jinga hii mbona huoni GDP kubwa ya Kenya umewacha ile ndogo ya Tanzania kwa umbali wa asilimia 40% ?????Nchi fukara wa rasilimali na uchumi kama Kenya utashangaa wakikuambia mbona Japan inaongoza? Hapo ndio utajua njaa ya ubongo ina impact gani
Ukiona GDP ya Nairobi pekee yake karibu ifike ile ya Tanzania mzima na pia ukiongeza forex reserves za Kenya ni mara mbili ya forex reserves za Tanzania.View attachment 1220946Sasa mbona usiwe mkweli? These are the Hadza people from Tz eating a Baboon.
Nyani haoni kundule .Acha Maneno yako wewe, muulize Tony254 atakupa composition ya serikali yenu, tulishaletewa hapa na tukalijadili hilo, Tony254, alikubali hiyo list ni ukweli, 85% ni wakikuyu na Kalenjin tu.
Kwani unataka kulia😂😂😂 kwasababu ya njaa hapa Kenya?? Hebu lia kwa nguvu kwikwikwi! 😭😭😭😭Wakati wakikuyu na Kalenjin wachache wanajivinjari hapo Nairobi, mamilioni ya waturkana, Samburu, Mijikenda, Pokots na Jalua wanakufa kwa njaa na wanatumia mkojo wa mifugo yao kama MAJI ya kunywa.
Hawa hapa
Leta source ya hii 85%?
What I know is that the Kikuyus account for 22% of the government workforce while the Kalenjins are at 12.8% and the Luhyas at 12.2%!
Hapana, utajiri wetu sisi wabongo Ni wa disi wenye rangi nyeusi Tena waarabu na wahindi Ni wazawa wa huku sio Kama kwenyu Manyang'au ambao Wazungu wenu Ni wazawa wa Kenya ila Ni mabeberu bado.Nyani haoni kundule .
Tanzania ukiangalia utajiri wake utapata kwamba 98% ya matajiri wake ni Waarabu na Wahindi.
Karibu asilimia tisini ya wakalenjin huishi mashambani kwa kuwa ni wakulima. Ulitoa wapi data zako?