Debt to GDP ratio globally Kenya is worse with 54%, Tanzania doing better with 37%

Sasa hutaki tujivinjari? Its our right bana
Wakati wakikuyu na Kalenjin wachache wanajivinjari hapo Nairobi, mamilioni ya waturkana, Samburu, Mijikenda, Pokots na Jalua wanakufa kwa njaa na wanatumia mkojo wa mifugo yao kama MAJI ya kunywa.
 
Unaona jinsi walivyo na Afya nzuri?, hao ni jamii ya wawindaji, hapo wanapata nyama waliyowinda, hawana njaa wala shida hao
Nilitaka kumuonyesha mwenzako aliyejitoa fahamu kuwa maisha haya hayapo Tz.
Mwambie atembee zaidi ya Tandale.
 
Kemu walete hao mamilioni tuwaone
Wakati wakikuyu na Kalenjin wachache wanajivinjari hapo Nairobi, mamilioni ya waturkana, Samburu, Mijikenda, Pokots na Jalua wanakufa kwa njaa na wanatumia mkojo wa mifugo yao kama MAJI ya kunywa.
 
Wakati wakikuyu na Kalenjin wachache wanajivinjari hapo Nairobi, mamilioni ya waturkana, Samburu, Mijikenda, Pokots na Jalua wanakufa kwa njaa na wanatumia mkojo wa mifugo yao kama MAJI ya kunywa.
Karibu asilimia tisini ya wakalenjin huishi mashambani kwa kuwa ni wakulima. Ulitoa wapi data zako?
 
Nimesema na Kalenjin wachache. Lete " Composition " ya makabila ya wafanyakazi serikalini kuanzia Mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi, majaji, na vyeo vya juu katika mashirika ya serikali ya Kenya, 85% ni wakikuyu na Kalenjin pekee.
 
Leta source ya hii 85%?

What I know is that the Kikuyus account for 22% of the government workforce while the Kalenjins are at 12.8% and the Luhyas at 12.2%!
 
Acha Maneno yako wewe, muulize Tony254 atakupa composition ya serikali yenu, tulishaletewa hapa na tukalijadili hilo, Tony254, alikubali hiyo list ni ukweli, 85% ni wakikuyu na Kalenjin tu.
 
Nchi fukara wa rasilimali na uchumi kama Kenya utashangaa wakikuambia mbona Japan inaongoza? Hapo ndio utajua njaa ya ubongo ina impact gani
Jinga hii mbona huoni GDP kubwa ya Kenya umewacha ile ndogo ya Tanzania kwa umbali wa asilimia 40% ?????

Nyie Tz ndio nchi fukara hata foreign exchange reserves yenu ni nusu ya zile za Kenya.
 
Acha Maneno yako wewe, muulize Tony254 atakupa composition ya serikali yenu, tulishaletewa hapa na tukalijadili hilo, Tony254, alikubali hiyo list ni ukweli, 85% ni wakikuyu na Kalenjin tu.
Nyani haoni kundule .

Tanzania ukiangalia utajiri wake utapata kwamba 98% ya matajiri wake ni Waarabu na Wahindi.
 
Wakati wakikuyu na Kalenjin wachache wanajivinjari hapo Nairobi, mamilioni ya waturkana, Samburu, Mijikenda, Pokots na Jalua wanakufa kwa njaa na wanatumia mkojo wa mifugo yao kama MAJI ya kunywa.
Kwani unataka kulia😂😂😂 kwasababu ya njaa hapa Kenya?? Hebu lia kwa nguvu kwikwikwi! 😭😭😭😭

Failed State inakuhangaisha hivi?? Hebu tuma msaada kwa wenzet wa Turkana. 😂😂😂
 
Huyu hajielewi...atakuletea ya twitter
Leta source ya hii 85%?

What I know is that the Kikuyus account for 22% of the government workforce while the Kalenjins are at 12.8% and the Luhyas at 12.2%!
 
Nyani haoni kundule .

Tanzania ukiangalia utajiri wake utapata kwamba 98% ya matajiri wake ni Waarabu na Wahindi.
Hapana, utajiri wetu sisi wabongo Ni wa disi wenye rangi nyeusi Tena waarabu na wahindi Ni wazawa wa huku sio Kama kwenyu Manyang'au ambao Wazungu wenu Ni wazawa wa Kenya ila Ni mabeberu bado.
 
Kw akili zake anafikiria wakikuyu wanaishi nairobi...na wakati wengi wao pia huishi central km wakulima...story za vijiweni bana...
.. umemkamata

Back
Top Bottom