December 18: Diamond kwa Zari, Wema kwa Chameleon

Basi hata hivyo hela yao imepanda thamani kidogo ilitakiwa kuwa laki tano! Akizitumia huko Uganda ni hela nyingi sana! Hata hivyo hakuna Mtanzania ana weza piga show kwa kiingilio cha Laki 6 ni hela nyingi sana!

Basi wanavyotudharau watz utadhani wao wako juuuuu kumbe midebwedo tu.
 
Hhhhhhhhhhaaaaaaaa,sasa mbona hao matajiri hadumu nao atawapata wengi lakini cha muhimu atafute na pesa yake uwezekano wa wema kua kibopa ni mkubwa mnooo,,,

Haloooooooo kubwa Sana....matajiri yeye ndio anawatema .. Nilishapata news kwamva wema alikuwa demu wa morocco alafu kuna bongo movie flani nimemsahau jina alikiwa anatoka na raisi wa moroco we subiri mseven afike bei Wema auziwe mbuga ya tsavo ndo utafurahi hahahah. Wema anaproject zake sema ameweka siri (Ana mjengo wa gorofa anapandisha tegeta km sikosei). Hata show up anazofanya ni hela inaingia si kwamba yuko idle. Au hadi aamke alfajiri kiwahi ofisini ndo mkubali kwamba anafanya kazi?
 

Hilo ghorofa wema afanye siri kwelii labdaa,,,tutashuhudia mengiii teh teh
 
Diamond anaweza kummaliza Wema kwa Presha!
 

Attachments

  • 1417207910565.jpg
    60.8 KB · Views: 321
  • 1417207938893.jpg
    30.1 KB · Views: 313
  • 1417207962675.jpg
    30.8 KB · Views: 287
Lakini huyu wema si ndio kila mtu alishauri amuache domo???

Mwacheni domo mpenda kiki na zari mpenda kiki waendelee na le project

Wema akaze buti usirudiiiiiiiii

Wema nayeye ni moja ya maajabu kumi ya Mapenzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…