Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
- Thread starter
- #181
Basi hata hivyo hela yao imepanda thamani kidogo ilitakiwa kuwa laki tano! Akizitumia huko Uganda ni hela nyingi sana! Hata hivyo hakuna Mtanzania ana weza piga show kwa kiingilio cha Laki 6 ni hela nyingi sana!
Basi wanavyotudharau watz utadhani wao wako juuuuu kumbe midebwedo tu.