December 18: Diamond kwa Zari, Wema kwa Chameleon

Ss tokeo lake kaenda kuopoa bonge la deeemuuu...alijua labda ataishia kwa cheap ladyz wa dar km kawa....kumbeeeeee ht hatukutegemea

ndo hapo alipomvuruga akili kabisaaaa.
maana mkiachana unatamani umuone ex wako akifuliA
 

hahahaaaaaa binamu...!!
 
inauma bwana hasa kwa mtu uliyemtoa mwenyewe bikra(kumfundisha ujanja wa mjini hasa kiingereza)
leo anakitumia kugongea mademu wakali kushinda wewee
Kayataka mwenyewe na hizo nyeg mcharuko zake
 
wakati wema anategemea pesa za mabwana kumuweka mjini Zari yy mambo safi so acha project iendelee. Likizo ndefu inaweza kuishia Uganda
 
wakati wema anategemea pesa za mabwana kumuweka mjini Zari yy mambo safi so acha project iendelee. Likizo ndefu inaweza kuishia Uganda

Hela zinazompa kibri zari ni za Ivan wala,si zake .. Cku ingine Fanya research..
 

Maneno kuntu haya...
 

mimi naletewa ndan we unatanga na njia,wanadai wema mbaya wakat me na demu wangu 2naamin hajawai kuvaa kanda2
 
Aipate wapiiii....mtu ana mke wake na anajiheshimu...chamilion alivyokuja dar mbona hakwenda....ndo aende uganda...hahaha zari kiboko yake waalahii...maskin bint wa watuu....ht hajielewi anataka nini.

Wema ana Ugonjwa wa kisaikolojia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…