December 18: Diamond kwa Zari, Wema kwa Chameleon

December 18: Diamond kwa Zari, Wema kwa Chameleon

Ss tokeo lake kaenda kuopoa bonge la deeemuuu...alijua labda ataishia kwa cheap ladyz wa dar km kawa....kumbeeeeee ht hatukutegemea

ndo hapo alipomvuruga akili kabisaaaa.
maana mkiachana unatamani umuone ex wako akifuliA
 
ooh wema kachoka kakongoroka mbona hilo bmw hamkuhongwa nyie msiochoka?? Ukweli kila mtu na nyota yake ...nyota ya wema ni ya kula akiwa amelala. Analetewa kitandani. Utakataa kukichukua kisa ni cha bure?? Kwanza cha bure kitamuuuuuuuu hata mimi nakula cha bure hapa ila kwa kipindi maalumu. Lakini hata hivyo kazi anafanya kwani kule airtel unadhani ni charity ile??

hahahaaaaaa binamu...!!
 
inauma bwana hasa kwa mtu uliyemtoa mwenyewe bikra(kumfundisha ujanja wa mjini hasa kiingereza)
leo anakitumia kugongea mademu wakali kushinda wewee
Kayataka mwenyewe na hizo nyeg mcharuko zake
 
wakati wema anategemea pesa za mabwana kumuweka mjini Zari yy mambo safi so acha project iendelee. Likizo ndefu inaweza kuishia Uganda
 
wakati wema anategemea pesa za mabwana kumuweka mjini Zari yy mambo safi so acha project iendelee. Likizo ndefu inaweza kuishia Uganda

Hela zinazompa kibri zari ni za Ivan wala,si zake .. Cku ingine Fanya research..
 
Wema anaenda kwa party...kwanza chameleone na Mirror msanii wa endless fame wana project. Akifanya Wema maneno akifanya diamond ni sawa...double standards hizo. Huyo dimond ni sawa kutembea na mama yake? Mtu 39yrs/24 kweli?
Mbona mnaukataa ukweli? Kwenye Coop on coop na kwingineko waganda wanamtapika zari nyie watz kisa chuki binafsi zenu kwa watz wenzenu mnafagilia ujinga. Wema na zari ni km mkojo na mavi in terms of behavior. Kwa kifupi diamond ameyapakata majanga maana haitaishia tu kwenye ngoma ila hadi drugs atabebeshwa. I'm here mark these words.

Maneno kuntu haya...
 
Ooh wema kachoka kakongoroka mbona hilo BMW hamkuhongwa nyie msiochoka?? Ukweli kila mtu na nyota yake ...nyota ya Wema ni ya kula akiwa amelala. Analetewa kitandani. Utakataa kukichukua kisa ni cha bure?? Kwanza cha bure kitamuuuuuuuu hata mimi nakula cha bure hapa ila kwa kipindi maalumu. Lakini hata hivyo kazi anafanya kwani kule Airtel unadhani ni charity ile??

mimi naletewa ndan we unatanga na njia,wanadai wema mbaya wakat me na demu wangu 2naamin hajawai kuvaa kanda2
 
Aipate wapiiii....mtu ana mke wake na anajiheshimu...chamilion alivyokuja dar mbona hakwenda....ndo aende uganda...hahaha zari kiboko yake waalahii...maskin bint wa watuu....ht hajielewi anataka nini.

Wema ana Ugonjwa wa kisaikolojia!
 
Back
Top Bottom