petrinamwana
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 900
- 345
Nyie nanyi dai aende wapi na bibi yuleeee sema anamtumia ili wema asikie wivu mjue kutofautisha + na x
Harara tu ndo shida!Wema ana vices nyingi na lile ---- lake linavodondoka(mchina),Wema naye hajui kukataa!Wema hajiamini mpaka awe na back up ya mashoga everywhere!Wema 360 kupita maelezo,in short Zari sio league moja na mama Vanilla!Hata Kama bado hajaukwaa kwingine ila ataukwaa kwa zarizewithlady... Zari haposti piha bila 360 plus filter kwani anajua harara zake zitaonekana... We si unaona hiyo waliyomuiba bila 360 na filter mdomo ulivyo na pia harara mwilini.We subiri soon utaona harara
Hata Kama bado hajaukwaa kwingine ila ataukwaa kwa zarizewithlady... Zari haposti piha bila 360 plus filter kwani anajua harara zake zitaonekana... We si unaona hiyo waliyomuiba bila 360 na filter mdomo ulivyo na pia harara mwilini.We subiri soon utaona harara
Simchukii Wema wala simpendi Zari ila naelezea fikra zangu!!:Hapa jf nina uhuru wa kucomment chochote!'Mahaba yako na Wema ni makubwa najua ila wema mwambieni Wema aendelee tu na Maisha yakeHahahaha utajiri UPI??? Kwa nagari ya kuazima kupigia picha? Kiburi cha hela ni cha Ivan ambae hata sasa ashakuwa broke. I berg....Fanya research zako kabla ya kushabikia kitu usichokijua. Chuki yako kwa Wema isikufanya uongee uongo ambao kila mtu mwenye akili timamu anaujua. Kuhusu ngoma ni kweli anayo... Kuhusu kifo kwamba wote tutakufa ni kweli ila kifo cha ngoma kina fedheha. Ninaomba Mungu aniepushe na dhahama hii. Na kwa waliopata wasiambukize wengine Kama zari. Na vijana inabidi tujilinde tusijiachie Kama domo maana ukimwi upo na unanua kea fedheha si Kama kifo cha malaria.
Mwisho chuki zako kwa Wema zisikufanye uandike kitu ambacho kujakifanyia tafiti. Ukiwa mmbea Kama Mimi uwe unafanya research na uwe na vifaa sio kitechno alafu unataka kucomment kila kitu . hapo lazima utajikuta unacomment ili mradi uandike sio kwa fact.
Nimependa hapa mwisho Mrembo by Nature
Nisaidie kushangaa!!Kwa hiyo harara ni dalili ya ngoma?
Hahahaha wamezidi kumuonea Wema nimeamua kurudi rasimi kamanda wa Wema jf. Ukiwa mnyonge dunia hi I utaonewa Sana. Zari ni mchafu Sana kuliko hata Wema (yani ananunua ngono akunwe tu aridhike maana wanaume wa ukweli walishamkimbia) ila wanamtetea kisa chuki zao kwa Wema. Sasa tuanze ila kumbuka sisi ni wazee wa fact alafu full vifaa vya umbea (hapa galaxy, pembeni lumia 920, hapa iPad air, hapa macbook) .kimoja kikikataa naenda kuudownload kwenye kifaa kingine. Huyu Lincoln na techno yake hana data anajifanya kusema sari tajiri kisa anajiita 'zarthebosslady' kumbe hata vera sidika na hudahh nao wanajiita bosslady . bossylady ni jina tu kwa taarifa yako lisikupe mushawasha kisa chuki.binfsi zako kwa wema @Ms Lincoln
Harara tu ndo shida!Wema ana vices nyingi na lile ---- lake linavodondoka(mchina),Wema naye hajui kukataa!Wema hajiamini mpaka awe na back up ya mashoga everywhere!Wema 360 kupita maelezo,in short Zari sio league moja na mama Vanilla!
Hahahaha wamezidi kumuonea Wema nimeamua kurudi rasimi kamanda wa Wema jf. Ukiwa mnyonge dunia hi I utaonewa Sana. Zari ni mchafu Sana kuliko hata Wema (yani ananunua ngono akunwe tu aridhike maana wanaume wa ukweli walishamkimbia) ila wanamtetea kisa chuki zao kwa Wema. Sasa tuanze ila kumbuka sisi ni wazee wa fact alafu full vifaa vya umbea (hapa galaxy, pembeni lumia 920, hapa iPad air, hapa macbook) .kimoja kikikataa naenda kuudownload kwenye kifaa kingine. Huyu Lincoln na techno yake hana data anajifanya kusema sari tajiri kisa anajiita 'zarthebosslady' kumbe hata vera sidika na hudahh nao wanajiita bosslady . bossylady ni jina tu kwa taarifa yako lisikupe mushawasha kisa chuki.binfsi zako kwa wema @Ms Lincoln
Kwa hiyo harara ni dalili ya ngoma?
Hahahaha hamuwezi kumtetea zarizewitchlay mpaka mumuingize Wema??? Hahahahaha the UNsummit anaueneza balaaaaaaa kama kaka yako alipita hapo anza kuweka oda ya sanda na viti kabisa. Hahaha RIP kaka@M.s Lincoln
Simchukii Wema wala simpendi Zari ila naelezea fikra zangu!!:Hapa jf nina uhuru wa kucomment chochote!'Mahaba yako na Wema ni makubwa najua ila wema mwambieni Wema aendelee tu na Maisha yake
Nimemtaja Zari na Wema coz mada inawahusu wote!!Zari ni World cup,Wema ni ndondo cup ya Docter Mwaka!!Kakangu angepita kwa Zari poa tu,kwani Zari sio mwanamke!!
Lol maneno kuntu makavu live
Jamani da mrembo,kwani kwa mfano tupo sehemu mi nawewe tunapiga stori za kishost na kimbeya kama ivi jadi yetu jamvini,sasa ikatokea tukawa na opinion tofauti,kweli utaniabisha bure au kisa nipo tofauti nawewe?utahari buahusiano bure@Mis.Lincoln u sound very innocent and respectfully. Ninaomba nikuache nisiendelee kukujibu maana ninaweza kukuvunjia heshima yako. Huwa ninaheshimu watu Kama nyie mnaojiheshimu. Asili yangu ni heshima mama. Kwa kulinda hilo ukiona Niko hi Kama hivi uwe unanipita tu. Ukiniona kwenye mada sensitive kama hizi Unaweza kucomment kwa ujumla bila kuniquote au kunitaja. Nimejitoa kwa wema kiroho safi Hii ni sababu Wema nae ni mwanadamu hastahili kutukanwa hasa pale asipostahili.
Naona wako wote South Africa sie twarushiwa ma selfies tu
Zari anaishi pia south Africa na anauraia au permanent permit km sikosei. Hata Ivan mganga wake wa kienyeji anaishi huko huko. Though na Uganda wana makao pia
Naona anaelekea kuwa fyatu kwa ajili ya penzi la mtoto w tandale ha ha ha alitishia kujamba kumbe anaumwa tumbo
hahahahahahahaHeheheheh scoop on scooop wamesema K ya zari sawa na UN summit
Tanzania wamepita, uganda wamepita, Nigeria wamekula hapo, southafrica wamepita.....
Pia wamemshauri afanye kazi ili apate pesa ya kuhonga "sex boys/toys" wake
Ila wabongo wanamsifia hahahah