December 18: Diamond kwa Zari, Wema kwa Chameleon

Nyie nanyi dai aende wapi na bibi yuleeee sema anamtumia ili wema asikie wivu mjue kutofautisha + na x
 
Hata Kama bado hajaukwaa kwingine ila ataukwaa kwa zarizewithlady... Zari haposti piha bila 360 plus filter kwani anajua harara zake zitaonekana... We si unaona hiyo waliyomuiba bila 360 na filter mdomo ulivyo na pia harara mwilini.We subiri soon utaona harara
Harara tu ndo shida!Wema ana vices nyingi na lile ---- lake linavodondoka(mchina),Wema naye hajui kukataa!Wema hajiamini mpaka awe na back up ya mashoga everywhere!Wema 360 kupita maelezo,in short Zari sio league moja na mama Vanilla!
 
Kwa hiyo harara ni dalili ya ngoma?
 
Hahahaha utajiri UPI??? Kwa nagari ya kuazima kupigia picha? Kiburi cha hela ni cha Ivan ambae hata sasa ashakuwa broke. I berg....Fanya research zako kabla ya kushabikia kitu usichokijua. Chuki yako kwa Wema isikufanya uongee uongo ambao kila mtu mwenye akili timamu anaujua. Kuhusu ngoma ni kweli anayo... Kuhusu kifo kwamba wote tutakufa ni kweli ila kifo cha ngoma kina fedheha. Ninaomba Mungu aniepushe na dhahama hii. Na kwa waliopata wasiambukize wengine Kama zari. Na vijana inabidi tujilinde tusijiachie Kama domo maana ukimwi upo na unanua kea fedheha si Kama kifo cha malaria.

Mwisho chuki zako kwa Wema zisikufanye uandike kitu ambacho kujakifanyia tafiti. Ukiwa mmbea Kama Mimi uwe unafanya research na uwe na vifaa sio kitechno alafu unataka kucomment kila kitu . hapo lazima utajikuta unacomment ili mradi uandike sio kwa fact.
Simchukii Wema wala simpendi Zari ila naelezea fikra zangu!!:Hapa jf nina uhuru wa kucomment chochote!'Mahaba yako na Wema ni makubwa najua ila wema mwambieni Wema aendelee tu na Maisha yake
 
Nimependa hapa mwisho Mrembo by Nature

Hahahaha wamezidi kumuonea Wema nimeamua kurudi rasimi kamanda wa Wema jf. Ukiwa mnyonge dunia hi I utaonewa Sana. Zari ni mchafu Sana kuliko hata Wema (yani ananunua ngono akunwe tu aridhike maana wanaume wa ukweli walishamkimbia) ila wanamtetea kisa chuki zao kwa Wema. Sasa tuanze ila kumbuka sisi ni wazee wa fact alafu full vifaa vya umbea (hapa galaxy, pembeni lumia 920, hapa iPad air, hapa macbook) .kimoja kikikataa naenda kuudownload kwenye kifaa kingine. Huyu Lincoln na techno yake hana data anajifanya kusema sari tajiri kisa anajiita 'zarthebosslady' kumbe hata vera sidika na hudahh nao wanajiita bosslady . bossylady ni jina tu kwa taarifa yako lisikupe mushawasha kisa chuki.binfsi zako kwa wema @Ms Lincoln
 
Last edited by a moderator:

Huu waraka mrefu sana!!Ungejua huyo Nassib ambavo simfagilii wala siungi mkono ukitombe wake wala usingeniandikia waraka!!Am simply not Wema's fan!!Sina la kujifunza kwake wala from the other!!But sio sababu ya kumkandia Zari kiivo!Mie techno yangu inanitoa sana!!
 
Harara tu ndo shida!Wema ana vices nyingi na lile ---- lake linavodondoka(mchina),Wema naye hajui kukataa!Wema hajiamini mpaka awe na back up ya mashoga everywhere!Wema 360 kupita maelezo,in short Zari sio league moja na mama Vanilla!

Hahahaha hamuwezi kumtetea zarizewitchlay mpaka mumuingize Wema??? Hahahahaha the UNsummit anaueneza balaaaaaaa kama kaka yako alipita hapo anza kuweka oda ya sanda na viti kabisa. Hahaha RIP kaka@M.s Lincoln
 
Hahahaha wamezidi kumuonea Wema nimeamua kurudi rasimi kamanda wa Wema jf. Ukiwa mnyonge dunia hi I utaonewa Sana. Zari ni mchafu Sana kuliko hata Wema (yani ananunua ngono akunwe tu aridhike maana wanaume wa ukweli walishamkimbia) ila wanamtetea kisa chuki zao kwa Wema. Sasa tuanze ila kumbuka sisi ni wazee wa fact alafu full vifaa vya umbea (hapa galaxy, pembeni lumia 920, hapa iPad air, hapa macbook) .kimoja kikikataa naenda kuudownload kwenye kifaa kingine. Huyu Lincoln na techno yake hana data anajifanya kusema sari tajiri kisa anajiita 'zarthebosslady' kumbe hata vera sidika na hudahh nao wanajiita bosslady . bossylady ni jina tu kwa taarifa yako lisikupe mushawasha kisa chuki.binfsi zako kwa wema @Ms Lincoln

Lol maneno kuntu makavu live
 
Kwa hiyo harara ni dalili ya ngoma?

Ni dalili ya kwanza ya ngoma kwa kuangalia. Nyingine ni internal zaidi na zimethibitishwa na dr ndo maana siwezi kuziweka hapa nitakiuka masharti ya fani za watu alafu Dr mhusika atashtakiwa. So amini usiamini ni juu yako sikulazimishi abi. Kwanza sikuwa nakujibu wewe ni kiherehere chako Kama bao la kwanza
 
Hahahaha hamuwezi kumtetea zarizewitchlay mpaka mumuingize Wema??? Hahahahaha the UNsummit anaueneza balaaaaaaa kama kaka yako alipita hapo anza kuweka oda ya sanda na viti kabisa. Hahaha RIP kaka@M.s Lincoln

Nimemtaja Zari na Wema coz mada inawahusu wote!!Zari ni World cup,Wema ni ndondo cup ya Docter Mwaka!!Kakangu angepita kwa Zari poa tu,kwani Zari sio mwanamke!!
 
Simchukii Wema wala simpendi Zari ila naelezea fikra zangu!!:Hapa jf nina uhuru wa kucomment chochote!'Mahaba yako na Wema ni makubwa najua ila wema mwambieni Wema aendelee tu na Maisha yake

Hata Mimi naweka mawazo yangu kwa fact. Si kama namchukia UN summit. Alafu kumbuka hata jina ulilomuita Wema linaonyesha tu how biased u a....uko so subjective linapokuja swala linalomhusu Wema. Nadhani hata yuleeeee swahiba wangu wa ukweeeee from another mother atakuwa anasoma hapa. Yeye ashajijua ila tuliapizana kupisha ngurue apite tunapokutana kwenye mada tata Kama hizi ili kulinda uswahiba.
 
Nimemtaja Zari na Wema coz mada inawahusu wote!!Zari ni World cup,Wema ni ndondo cup ya Docter Mwaka!!Kakangu angepita kwa Zari poa tu,kwani Zari sio mwanamke!!

@Mis.Lincoln u sound very innocent and respectfully. Ninaomba nikuache nisiendelee kukujibu maana ninaweza kukuvunjia heshima yako. Huwa ninaheshimu watu Kama nyie mnaojiheshimu. Asili yangu ni heshima mama. Kwa kulinda hilo ukiona Niko hi Kama hivi uwe unanipita tu. Ukiniona kwenye mada sensitive kama hizi Unaweza kucomment kwa ujumla bila kuniquote au kunitaja. Nimejitoa kwa wema kiroho safi Hii ni sababu Wema nae ni mwanadamu hastahili kutukanwa hasa pale asipostahili.
 
Jamani da mrembo,kwani kwa mfano tupo sehemu mi nawewe tunapiga stori za kishost na kimbeya kama ivi jadi yetu jamvini,sasa ikatokea tukawa na opinion tofauti,kweli utaniabisha bure au kisa nipo tofauti nawewe?utahari buahusiano bure
Kisa tumetofautiana kifikra!ok nisamehe bure mama,nimekuelewa,sirudii tena!
 
Heheheheh scoop on scooop wamesema K ya zari sawa na UN summit

Tanzania wamepita, uganda wamepita, Nigeria wamekula hapo, southafrica wamepita.....

Pia wamemshauri afanye kazi ili apate pesa ya kuhonga "sex boys/toys" wake

Ila wabongo wanamsifia hahahah
hahahahahahaha
BADILI TABIA utafungwa na Lemutuz.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom