December 18: Diamond kwa Zari, Wema kwa Chameleon


hili neno UN summit linaniacha hoi!
 

Ujue tatizo wale wanaomchukia Wema kwa ushu zao binafsi wanaenda beyond as if Wema ndo amekuwa shetani wa mwisho. wnasahau kwamba hata hao mahaba niue wao wanamasoo kupitiliza. Sasa wakienda mbali inabidi na Mimi niende mbali zaidi yao na hapo kunakuwa na kushushiana heshima kitu ambacho sikifurahii . hahahaha ila azawaizi mbona me huwa nina adabu Sana tu.
 
Huyu binti si mzima kabisa!

Basi msamehe ila Wema hajafanya kitu kibaya. Kwanza yeye ndo aloposti hii shoo ya chemeleone kabla ya diamond. Alafu kumbuka mtalaka si adui. Vinavyoachana ni vikojoleo ila binadam Kama binadam utu wa kuthaminiana na kusapotiana unabaki palepale.
 
hili neno UN summit linaniacha hoi!

Kitu cha mkutano wa umoja wa mataifa...kwa kifupi papuchi ya bidada ni makutano place. Wewe jiulize uzalishwe watoto 3 na mwanaume mmoja still no ndoa na uachwe full si majanga hayo. Habebeki kwa kifupi
 
Watu mmezidi kumsakama Wema sana hadi kumuona ana matatizo who are you to judge akifanya domo na Mama wenye watoto watatu Sawa akifanya Wema nogwa kumnanga mwachieni na life lake kumcompare na mtu mwenye watoto wapi na wapi wadada wengi humu mnamwonea wivu tu uliokithiri
 

Asante kamanda wangu msaidizi. Sasa hivi hakuna kukubali mwanzo mwisho tunatimua vumbi wakitibua tu.
 
Diva,disadvantage moja wapo ya kuwa star au celebrity duniani ni kupata msukosuko wa kujadiliwa na mashabiki kwa mema na mabaya,yani utachambuliwa,utasimangwa na kunyambuliwa utadhani wanakujua undani kumbe la!So Wema naye ni miongoni mwa star yupo subject kuchambuliwa na kunyambuliwa sio kwamba atakayemsema vibaya ana wivu naye,so wanaomsema Zari vibaya wana wivu naye pia?
 
Asante kamanda wangu msaidizi. Sasa hivi hakuna kukubali mwanzo mwisho tunatimua vumbi wakitibua tu.

Wamemwandama sana kuzidi kila mtu na mapungufu yake tuambiane ukweli bila unafiki kabisa sasa mtu anamkashifu Mara ana mabonde sijui nini maneno kibao hapo ka si kumchukia nini Mara anahongwa Mara lile wao hawa do kwani wanamsifia tu diamond na zari makusudi kisa hawampendi Wema wamwache no is perfect
 

Kusemwa kupo kabisa kusizidi mipaka mana wengi wame base kumuona yeye mbaya mfano kwenda kwa chameleone kwa mishe zake wanamnanga hana amani kapaniki wamejuaje kuwa kapaniki kwahyo domo kwenda ndo sawa
 
Kusemwa kupo kabisa kusizidi mipaka mana wengi wame base kumuona yeye mbaya mfano kwenda kwa chameleone kwa mishe zake wanamnanga hana amani kapaniki wamejuaje kuwa kapaniki kwahyo domo kwenda ndo sawa

Nimesoma news za uganda wanasema Shoo ya chameleone ni mwishooooooo nasikia kiingilio milioni. Mtu wa kawaida hata kunusa hawezi. Kwa zari ndio affordable.
Najua Wema lazima atunze kuweka headlines. Akirudi atakuwa amechukuliwa na matajiri wa Uganda. Chuna buzi mama kwa raha zako kwa shida zao. Hata sisi tunataka kuchuna sema bahati hizo hatuna. CC Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
Asante kamanda wangu msaidizi. Sasa hivi hakuna kukubali mwanzo mwisho tunatimua vumbi wakitibua tu.

hahahahaha nakaa karibu na maji ya kuwasha! Muweke kwenye maombi Wema maana anapenda hadi amekuwa kipofu wa kupitiliza na anazidi kudharirishwa! Wakirudi kutoka Uganda wanarudiana!
 

Hii show ya Chamilion ni babu kubwa kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…