Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu binti si mzima kabisa!
Hata Mimi naweka mawazo yangu kwa fact. Si kama namchukia UN summit. Alafu kumbuka hata jina ulilomuita Wema linaonyesha tu how biased u a....uko so subjective linapokuja swala linalomhusu Wema. Nadhani hata yuleeeee swahiba wangu wa ukweeeee from another mother atakuwa anasoma hapa. Yeye ashajijua ila tuliapizana kupisha ngurue apite tunapokutana kwenye mada tata Kama hizi ili kulinda uswahiba.
Na sahivi chibu kasindikizwa na le ptoject SA ha ha ha wema kyupi kitambana
Mrembo by Nature una data! Aiseee
Jamani da mrembo,kwani kwa mfano tupo sehemu mi nawewe tunapiga stori za kishost na kimbeya kama ivi jadi yetu jamvini,sasa ikatokea tukawa na opinion tofauti,kweli utaniabisha bure au kisa nipo tofauti nawewe?utahari buahusiano bure
Kisa tumetofautiana kifikra!ok nisamehe bure mama,nimekuelewa,sirudii tena!
Hatari sana...Na sahivi chibu kasindikizwa na le ptoject SA ha ha ha wema kyupi kitambana
Huyu binti si mzima kabisa!
hili neno UN summit linaniacha hoi!
hahahahaha Mrembo by Nature andaa maturubai kabisa ....kijana kazidi!
Watu mmezidi kumsakama Wema sana hadi kumuona ana matatizo who are you to judge akifanya domo na Mama wenye watoto watatu Sawa akifanya Wema nogwa kumnanga mwachieni na life lake kumcompare na mtu mwenye watoto wapi na wapi wadada wengi humu mnamwonea wivu tu uliokithiri
Asante kamanda wangu msaidizi. Sasa hivi hakuna kukubali mwanzo mwisho tunatimua vumbi wakitibua tu.
Diva,disadvantage moja wapo ya kuwa star au celebrity duniani ni kupata msukosuko wa kujadiliwa na mashabiki kwa mema na mabaya,yani utachambuliwa,utasimangwa na kunyambuliwa utadhani wanakujua undani kumbe la!So Wema naye ni miongoni mwa star yupo subject kuchambuliwa na kunyambuliwa sio kwamba atakayemsema vibaya ana wivu naye,so wanaomsema Zari vibaya wana wivu naye pia?
Kusemwa kupo kabisa kusizidi mipaka mana wengi wame base kumuona yeye mbaya mfano kwenda kwa chameleone kwa mishe zake wanamnanga hana amani kapaniki wamejuaje kuwa kapaniki kwahyo domo kwenda ndo sawa
hahahahahahaha huyu dogo anajichimbia kaburi kwa mikono yake mwenyewe!Nimeandaa nepi kwanza. Ujue akianza ARVs atachelewa kidogo maana zile zinapigisha mark time
Hata sisi tunataka kuchuna sema bahati hizo hatuna. CC Evelyn Salt
Asante kamanda wangu msaidizi. Sasa hivi hakuna kukubali mwanzo mwisho tunatimua vumbi wakitibua tu.
Nimesoma news za uganda wanasema Shoo ya chameleone ni mwishooooooo nasikia kiingilio milioni. Mtu wa kawaida hata kunusa hawezi. Kwa zari ndio affordable.
Najua Wema lazima atunze kuweka headlines. Akirudi atakuwa amechukuliwa na matajiri wa Uganda. Chuna buzi mama kwa raha zako kwa shida zao. Hata sisi tunataka kuchuna sema bahati hizo hatuna. CC Evelyn Salt