Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
This December simu za watu kukopa zimekuwa nyingi hadi mtu unaogopa kupokea simu za marafiki hii noma.
Mtu unaweza ukawa na pesa kidogo ya kukutosheleza wewe mwenyewe ukianza kugawia kila mtu anayekulilia shida utajikuta na wewe hauna kitu.
Shida sikuhizi mitandao inatusemelea sana ukionekana tu umepiga picha mahala mtu anafikiri una pesa