December hii watu wanapiga simu za kukopa sana hadi simu ya moto

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,682
Reaction score
6,638
This December simu za watu kukopa zimekuwa nyingi hadi mtu unaogopa kupokea simu za marafiki hii noma.

Mtu unaweza ukawa na pesa kidogo ya kukutosheleza wewe mwenyewe ukianza kugawia kila mtu anayekulilia shida utajikuta na wewe hauna kitu.

Shida sikuhizi mitandao inatusemelea sana ukionekana tu umepiga picha mahala mtu anafikiri una pesa
 
Bado Njaanuari hapo ndo kiboko, Smart TV inauzwa afu hamsinii.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukikubali kukopeshwa utalipwa baada ya siku 82
Kumbuka january ina siku 52
 
Kama unaweza wasaidie ,kukoposha achana na hiyo biashara za kipumbavu...Binadamu wa sasa hawatendi haki ni matapeli karibia wote ,naona washughulikiwe kwa awamu ya pili ili vibaka wapungue..Ukimpa mtu ndio kibaki hautapi tena hela yako ; tena unamkopesha bila ya riba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…