David Goliath
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 949
- 1,878
Achaneni na bidhaaa zisizo na ubora hamia Kwa Kaburu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitoa taarifa kama humu wanakuja watetezi na utetezi wa kipumbavu kabisa....mpaka unashangaa.Mimi ilikaa wiki 1 tu mfuniko ukawa haufungi..na haijaanguka wala nn nikaweka soltape...
Sasa star times nacho ni king'amuzi mkuu??Nina star times tangu 2009 sijawahi badili remote wala decoder.
Hivi Azam ukitoa ligi ya ndani...wanabakiwa na nini? Nothing, Nada, Nafimo.Sasa star times nacho ni king'amuzi mkuu??
Bora azam kuliko uchaf wa startimes..mm si mpenzi wa tv kbs...Hivi Azam ukitoa ligi ya ndani...wanabakiwa na nini? Nothing, Nada, Nafimo.
.Ujinga si tatizo huwa unatoka. Wewe naamini Unaabudu Dini ya Upumbavu. [emoji1787]
Jamiiiforums raha sana , eti " dishi limeoza, remote ina makengeza".Ninayo ya Startimes ya kwanza kabisa zilipoingia, mpaka leo lakini ni kama mpya na rimoti yake ileile, lakini cha Azam kwanza dishi halijamaliza miaka miwili limeoza na rimoti inamakengeza, nilitoa taarifa wakasema ninunue nyingine! King'amuzi wakatengeneza bure!
Niliwahi kuweka humu Post nikiwataka TBS na Tume ya Ushindani Bora ivikague lakini wanaogopa.
Kuna muda naongeza sauti ya TV kwa remote unashangaa channel kwny Azam inahama
Sio ile nyeusi?Usihangaike nao, nunua remoti ya star times ile nyeupe ule maisha, zinaingiliana na hutopata tabu hiyo tena
Hata ukimtupia panya hawezi kulinusa, rimoti ukibonyeza exit inakuchunia, ukibonyeza kwenda juu inakwenda kushoto! Halafu kwa bei sasa sijui wanakusanya tozo za kumlipa mshahara kocha wa AFC?Jamiiiforums raha sana , eti " dishi limeoza, remote ina makengeza".
Mkuu remote wamekataa kutoa bure, mimi nina king'amuzi cha antenna, button kadhaa ziliacha kufanya kazi ikowa ni mwezi mmoja tu baada ya kununua, nilipoenda Mbezi kwenye duka lao la matengenezo wakaniambia AZAM wanatengeneza decorder tu rimoti natakiwa kununua, Tshs. 15,000/=, sasa hizo za bure for replacement wanatoa wapi?king'amuzi cha azam kina aina mbili ya remote, aina ya kwanza ni remote ngumu na bora ambazo zinauzwa elfu 20 elfu 25 kama sijakosea.
aina ya pili ni remote nyepesi ambazo unapewa bure kama replacement endapo utarudisha remote iliyoharibika.
wewe bila shaka unatumia romote uliyopewa bure.
Jaribu kuwekea battery mpya mi remote yangu nimeanza kuitumia toka 2016 Hadi leo ukibadilisha battery inapiga mzigo fresh ingawa hizo tabia huwa zinatokea mara chache sana hasa battery ikiwa imetumika mda mrefu...Nimeshabadilisha remote mara 3. Remote bado mpya unabonyeza Menu yenyewe ina change program. Unaongeza sauti sometimes ina change channel.
Unarudi Back inakupeleka kwenye menu. Unaweza bonyeza button hata mara tatu isi respond na hapo umeielekeza kabisa karibu na decoder siyo kwamba ipo mbali.
Inanikwaza sana na inakuwa kero. Huwezi fanya kitu once. Nliwasiliana nao wakaniambia nitakuwa nimeharibu nikanunue nyingine hii sasa ya tatu. Bado haijielewi.
Na wateja tukisema mnaleta habari zenu utadhani sisi sote ni wale wengine. Maana hili mimi linanikwaza ukilinfanisha hawa jamaa nawapigia debe sababu ni wa hapa hapa lakini sasa tusifuge ubovu. Mnanilazimisha niendelee kitumia tu DSTV.
Daaah.... Yaani unaamini battery ndo sababu? 🤣 Battery ni issue ndogo sana ambayo matokeo yake huonekana kirahisi pale ambapo remote hai respond. Hapo nimezungumzia kupeleka wrong information kwenye TV. Unabonyeza menu. Yenyewe ina ongeza sauti. Unaongeza sauti yenyewe inazima. Inawezekana ya kwako ilitengenezwa kwa viwango.Jaribu kuwekea battery mpya mi remote yangu nimeanza kuitumia toka 2016 Hadi leo ukibadilisha battery inapiga mzigo fresh ingawa hizo tabia huwa zinatokea mara chache sana hasa battery ikiwa imetumika mda mrefu...