Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hilo balaa limeshanikuta!!Ukitaka kujua azam device ni mbovu. Acha kutumia remote kabonteze direct kwenye kisimbuzi chenyewe. Zinakufa batani siku hiyohiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo balaa limeshanikuta!!Ukitaka kujua azam device ni mbovu. Acha kutumia remote kabonteze direct kwenye kisimbuzi chenyewe. Zinakufa batani siku hiyohiyo
Bongo kila kitu hovyo, Zuku wapo vizuri,hila hawakuwa wabunifu tu tokea mwanzo,wangeliteka soko la tzNimeshabadilisha remote mara 3. Remote bado mpya unabonyeza Menu yenyewe ina change program. Unaongeza sauti sometimes ina change channel.
Unarudi Back inakupeleka kwenye menu. Unaweza bonyeza button hata mara tatu isi respond na hapo umeielekeza kabisa karibu na decoder siyo kwamba ipo mbali.
Inanikwaza sana na inakuwa kero. Huwezi fanya kitu once. Nliwasiliana nao wakaniambia nitakuwa nimeharibu nikanunue nyingine hii sasa ya tatu. Bado haijielewi.
Na wateja tukisema mnaleta habari zenu utadhani sisi sote ni wale wengine. Maana hili mimi linanikwaza ukilinfanisha hawa jamaa nawapigia debe sababu ni wa hapa hapa lakini sasa tusifuge ubovu. Mnanilazimisha niendelee kitumia tu DSTV.
Wewe umeleta lig tu isio na mana .kasema remote zinakuf hovyo hovyo.sio kusema watu hawana hela wananunua chep remote.na mimi nimekuandikia kwa kiswahili chepesi sana,hujanielewa?....shuleni ulienda kusomea ujinga?.
zinapatikana kirahisi au ndio hadi kuagiza online?Tafuteni hizi una clone remote original unakua unatumia hii, inauwezo wa ku operate devices 3 tofauti mfano tv, kingamuzi, na radio au receiver kwa wakati mmoja.
View attachment 2349827
Hii remote mimi nimenunua pamoja na package nzima ya king'amuzi na Dish, lakini kiukweli ni nyepesi na haina ubora wowote.... Imenibidi ninunue ingine kubwa na imara kidogoking'amuzi cha azam kina aina mbili ya remote, aina ya kwanza ni remote ngumu na bora ambazo zinauzwa elfu 20 elfu 25 kama sijakosea.
aina ya pili ni remote nyepesi ambazo unapewa bure kama replacement endapo utarudisha remote iliyoharibika.
wewe bila shaka unatumia romote uliyopewa bure.
Hii nilikuwa sijui aisee, shukurani sana [emoji106]Usihangaike nao, nunua remoti ya star times ile nyeupe ule maisha, zinaingiliana na hutopata tabu hiyo tena
Hoja ya kindezi sana hii, cha bure pale ni kile kifurushi cha mwezi mmoja unachopewa baasiii... Lakini remote, waya za HDMI na vikoro koro vingine vyote viko kwenye package ya bei sawa??Hivyo rimoti unayopewa ununuapo king'amuzi ni ya bure! Punguza ujuaji kwani tatizo la ving'amuzi vya Azam ni kubwa kuliko vya vituo vingine na vimekuwa vikilalamikiwa sana, hata madishi ya Azam hayakawii kuoza.
Nenda kwa maajenti wa Azsm wanaofanya matengenezo ukaone jinsi vibovu vilivyojaa.
Zipo madukanizinapatikana kirahisi au ndio hadi kuagiza online?
Mkuu star times imeanza 2013Nina star times tangu 2009 sijawahi badili remote wala decoder.
Inauzwa kiasi gani na wapi?Tafuteni hizi una clone remote original unakua unatumia hii, inauwezo wa ku operate devices 3 tofauti mfano tv, kingamuzi, na radio au receiver kwa wakati mmoja.
View attachment 2349827
Mkuu kama unaifahama hebu weka picha yake tuioneHii nilikuwa sijui aisee, shukurani sana [emoji106]
Mimi imebidi ninunue hii kwa elfu 15...zinapatikana kirahisi au ndio hadi kuagiza online?
Jamaa hapo juu ndiye atakuwa anayo, nami ndo nataka niitafute maana nina vya Azam tuu hivi hapa..Mkuu kama unaifahama hebu weka picha yake tuione