Decoder ya Azam ni moja ya Decoder za ovyo/cheap quality ambazo nimepata zitumia

Decoder ya Azam ni moja ya Decoder za ovyo/cheap quality ambazo nimepata zitumia

Hoja ya kindezi sana hii, cha bure pale ni kile kifurushi cha mwezi mmoja unachopewa baasiii... Lakini remote, waya za HDMI na vikoro koro vingine vyote viko kwenye package ya bei sawa??
Wapi nimesema vya bure! Hili nalo inabidi JF waliangalie.
 
Hii remote mimi nimenunua pamoja na package nzima ya king'amuzi na Dish, lakini kiukweli ni nyepesi na haina ubora wowote.... Imenibidi ninunue ingine kubwa na imara kidogo View attachment 2349862
usafi zero...remote imejaa vumbi kwanini batani zisigome...[emoji16][emoji16]
 
Hamia DSTV mkuu,hiki ndicho king'amuzi bora kabisa...nina miaka 10 sasa hakija wahi sumbua.
 
Nimeshabadilisha remote mara 3. Remote bado mpya unabonyeza Menu yenyewe ina change program. Unaongeza sauti sometimes ina change channel.

Unarudi Back inakupeleka kwenye menu. Unaweza bonyeza button hata mara tatu isi respond na hapo umeielekeza kabisa karibu na decoder siyo kwamba ipo mbali.

Inanikwaza sana na inakuwa kero. Huwezi fanya kitu once. Nliwasiliana nao wakaniambia nitakuwa nimeharibu nikanunue nyingine hii sasa ya tatu. Bado haijielewi.

Na wateja tukisema mnaleta habari zenu utadhani sisi sote ni wale wengine. Maana hili mimi linanikwaza ukilinfanisha hawa jamaa nawapigia debe sababu ni wa hapa hapa lakini sasa tusifuge ubovu. Mnanilazimisha niendelee kitumia tu DSTV.
Nitarudi
 
Mkuu star times imeanza 2013
Mkuu ukibisha kitu uwe na ushahidi,
Kwa sisi watu wa football, ukiondoa DSTV, king'amuzi kinàchofuata kwa kuonyesha ni Star times
[emoji818]Bundesliga
[emoji818]Copa Italy
[emoji818]Copa Delay Spain
[emoji818]Ligi ya Brazi
[emoji818]Chinese legue
[emoji818]Asian World cup qualify
[emoji818]European World cup qualify
[emoji818]Afcon Mechi zote hawachagui mechi
[emoji818]Caf Women's Champions league
[emoji818]caf Women's Afcon
[emoji818]caf Champions league mechi zote kuanzia hatua ya makundi
[emoji818]caf confederation cup mechi zote kuanzia hatua ya makundi
[emoji818] World cup mechi zote
Screenshot_20220908-183233_Facebook.jpg
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Ukitaka kujua azam device ni mbovu. Acha kutumia remote kabonteze direct kwenye kisimbuzi chenyewe. Zinakufa batani siku hiyohiyo
Hilo nalo ni kweli buttons za pale pale ni kama wamezitegesha. Usirogwe ukabonyeze mara mbili tatu... Vinakatika....hawa jamaa wanatuibia sana kwa hizi decoders na remotes zao
 
Azam product anayokimbiza nayo ni Ligu kuu bara siku akipoteza hiyo haki ya kuonesha Ligi kuu pekee nafkri atapotea sokoni japokua sio rahisi kupoteza hiyo haki kutokana na aina ya mikataba anayoingia na bodi ya ligi kupitia Tff...
 
Ungewafata ukawashauri hukohuko ingekua jambo bora sana kuliko kuleta humu hauteweza pewa chochote zaidi na maneno matupu
 
Mimi nilinunua Azam 2013 na mpaka leo bado inadunda bila wasi ni remote tu ndio imeshindwa mwendo na nimebadirisha mara moja tu na vilevile naona remote zake zinaingliana na StarTimes hivyo ni free meal.

Remote za Azam ni nyepesi lakini sio kihivyo kama unavyosema. Either utakuwa unatumia nguvu nyingi kubonyeza, betri za kubangaiza au watoto wanaharibu na kuiangusha mara kwa mara, ni plastic it's not supposed to be indestructible lakini bado wanatakiwa kuzifanyia maboresho.
Better solution ni hamia DSTV japo sikushauri kama ni muelemewa tozo.
 
Mimi nilinunua Azam 2013 na mpaka leo bado inadunda bila wasi ni remote tu ndio imeshindwa mwendo na nimebadirisha mara moja tu na vilevile naona remote zake zinaingliana na StarTimes hivyo ni free meal.

Remote za Azam ni nyepesi lakini sio kihivyo kama unavyosema.Either utakuwa unatumia nguvu nyingi kubonyeza, betri za kubangaiza au watoto wanaharibu na kuiangusha mara kwa mara.
Better solution hamia DSTV japo sishauri kama ni muelemewa tozo.
 
Mimi nilinunua Azam 2013 na mpaka leo bado inadunda bila wasi ni remote tu ndio imeshindwa mwendo na nimebadirisha mara moja tu na vilevile naona remote zake zinaingliana na StarTimes hivyo ni free meal.

Remote za Azam ni nyepesi lakini sio kihivyo kama unavyosema.Either utakuwa unatumia nguvu nyingi kubonyeza, betri za kubangaiza au watoto wanaharibu na kuiangusha mara kwa mara.
Better solution hamia DSTV japo sishauri kama ni muelemewa tozo.
 
Nimeshabadilisha remote mara 3. Remote bado mpya unabonyeza Menu yenyewe ina change program. Unaongeza sauti sometimes ina change channel.

Unarudi Back inakupeleka kwenye menu. Unaweza bonyeza button hata mara tatu isi respond na hapo umeielekeza kabisa karibu na decoder siyo kwamba ipo mbali.

Inanikwaza sana na inakuwa kero. Huwezi fanya kitu once. Nliwasiliana nao wakaniambia nitakuwa nimeharibu nikanunue nyingine hii sasa ya tatu. Bado haijielewi.

Na wateja tukisema mnaleta habari zenu utadhani sisi sote ni wale wengine. Maana hili mimi linanikwaza ukilinfanisha hawa jamaa nawapigia debe sababu ni wa hapa hapa lakini sasa tusifuge ubovu. Mnanilazimisha niendelee kitumia tu DSTV.
Sahihi
 
Back
Top Bottom