Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Zinafanya kazi Azam hizi remote za startime?Usihangaike nao, nunua remoti ya star times ile nyeupe ule maisha, zinaingiliana na hutopata tabu hiyo tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinafanya kazi Azam hizi remote za startime?Usihangaike nao, nunua remoti ya star times ile nyeupe ule maisha, zinaingiliana na hutopata tabu hiyo tena
Wapi nimesema vya bure! Hili nalo inabidi JF waliangalie.Hoja ya kindezi sana hii, cha bure pale ni kile kifurushi cha mwezi mmoja unachopewa baasiii... Lakini remote, waya za HDMI na vikoro koro vingine vyote viko kwenye package ya bei sawa??
Kiswahili Ni kigumu sana.Zinafanya kazi Azam hizi remote za startime?
usafi zero...remote imejaa vumbi kwanini batani zisigome...[emoji16][emoji16]Hii remote mimi nimenunua pamoja na package nzima ya king'amuzi na Dish, lakini kiukweli ni nyepesi na haina ubora wowote.... Imenibidi ninunue ingine kubwa na imara kidogo View attachment 2349862
NitarudiNimeshabadilisha remote mara 3. Remote bado mpya unabonyeza Menu yenyewe ina change program. Unaongeza sauti sometimes ina change channel.
Unarudi Back inakupeleka kwenye menu. Unaweza bonyeza button hata mara tatu isi respond na hapo umeielekeza kabisa karibu na decoder siyo kwamba ipo mbali.
Inanikwaza sana na inakuwa kero. Huwezi fanya kitu once. Nliwasiliana nao wakaniambia nitakuwa nimeharibu nikanunue nyingine hii sasa ya tatu. Bado haijielewi.
Na wateja tukisema mnaleta habari zenu utadhani sisi sote ni wale wengine. Maana hili mimi linanikwaza ukilinfanisha hawa jamaa nawapigia debe sababu ni wa hapa hapa lakini sasa tusifuge ubovu. Mnanilazimisha niendelee kitumia tu DSTV.
Hiyo ni bluetooth technology, tofauti na hizi nyingine za infrared technology mpaka uelekezee kwenye deviceRimoti ya Zuku ndio bora kwangu. Ile unakuwa nje umefunga mlango unabadili, unaweza geuka nyuma ukaelekeza upande mwingine na ikafanya kazi
Mkuu ukibisha kitu uwe na ushahidi,Mkuu star times imeanza 2013
Hilo nalo ni kweli buttons za pale pale ni kama wamezitegesha. Usirogwe ukabonyeze mara mbili tatu... Vinakatika....hawa jamaa wanatuibia sana kwa hizi decoders na remotes zaoUkitaka kujua azam device ni mbovu. Acha kutumia remote kabonteze direct kwenye kisimbuzi chenyewe. Zinakufa batani siku hiyohiyo
[emoji2][emoji2][emoji2]Ukitaka kujua azam device ni mbovu. Acha kutumia remote kabonteze direct kwenye kisimbuzi chenyewe. Zinakufa batani siku hiyohiyo
Zinaingiliana kwenye toleo la mwanzo la dekoda ya AzamUsihangaike nao, nunua remoti ya star times ile nyeupe ule maisha, zinaingiliana na hutopata tabu hiyo tena
Unataka ukae na remote miaka kumi nenda kanunie nyingine wale pesa yakoMimi ilikaa wiki 1 tu mfuniko ukawa haufungi..na haijaanguka wala nn nikaweka soltape...
SahihiNimeshabadilisha remote mara 3. Remote bado mpya unabonyeza Menu yenyewe ina change program. Unaongeza sauti sometimes ina change channel.