Ok sasa tcra wakikukuta siyo mzozo
Package ya 48k, na unaweza kulipia hata mwaka mzima.Hivi hao jamaa huwa wana subscription plan ya muda mrefu kama miezi 6 au mwaka 1...?
Package ya bei ipi inayokuwezesha kuona kila kitu ambayo ipo equivalent na Compact+ au Premium
Mimi mechi nane zote nazifuatiliaje kwa wakati mmoja? Cwezi kujibu hilo swali kwani cjui na sina haja ya kufuatilia hilo, hata dstv cjui kama huwa hilo wanafanya, wewe unataka kuleta ya azam tv na huku?!! Hapa hata chaneli za habari, sinema zetu, walionyesha mechi!!Hujajibu swali langu vizur, chanel nne sawa na game 4 je zikiwa game nane mfano ile siku ya kufungwa kwa ligi ,mlipata wasaa wa kutizama game zote ?
Nimekuuliza nikiwa na mantiki kubwa , sasa niconclude canal ni nzuri kwa bei zake ila na huduma watoayo ila hawajajipanga ,ikitokea kuna game nyingi za ligi nyingi kwa wakati mmoja mfano , arsenal na liver, madrid na baka ,huko dot na germany kwa mfano na game zingine uchuro waufanyao ni kurusha game kwa vipande vipandeMimi mechi nane zote nazifuatiliaje kwa wakati mmoja? Cwezi kujibu hilo swali kwani cjui na sina haja ya kufuatilia hilo, hata dstv cjui kama huwa hilo wanafanya, wewe unataka kuleta ya azam tv na huku?!! Hapa hata chaneli za habari, sinema zetu, walionyesha mechi!!
Wana channels 5 za michezo (canal sports 1,2,3,4,5&6) kama kukiwa na games kubwa tupu basi channel 4 zitaonesha game kubwa zote na moja itatumika kutoa updates za matukio yote ya mechi zilizosalia.Nimekuuliza nikiwa na mantiki kubwa , sasa niconclude canal ni nzuri kwa bei zake ila na huduma watoayo ila hawajajipanga ,ikitokea kuna game nyingi za ligi nyingi kwa wakati mmoja mfano , arsenal na liver, madrid na baka ,huko dot na germany kwa mfano na game zingine uchuro waufanyao ni kurusha game kwa vipande vipande
Dar unapatikana wapi?Wakati Msimu wa Ligi mbalimbali Duniani ukirejea, Tumekusogezea karibu Dekoda ya Canal Plus ili usipitwe na matukio mbalimbali ya kimichezo. Kwa 100k tu unajipatia dekoda na kifurushi cha mwezi ni 48k tu!
0629439450View attachment 3062906
Wewe wapi?Dar unapatikana wapi?
Poa ntakiita uniletee mzigo mda sio mrefuGoba