DED Godigodi: Madiwani hawana ubavu wa kunisimamisha kazi kwa sababu hawajaniteua wao

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mkurugenzi wa halmashauri ya Mbozi Bi Godigodi amesema yeye ni mteule wa Rais hivyo madiwani hawana ubavu wa kumchukulia hatua zozote za kinidhamu ikiwemo kumsimamisha kazi.

Godigidi amesema hayo baada ya baraza la madiwani la halmashauri ya Mbozi kudai limemsimamisha kazi kutukana na kutokuwa na imani naye.

Source: Star tv

Kazi Iendelee!
 
Hapa ipo shida. Madiwani wanauwezo wa kumuazimia mtumishi wa council na mamlaka yake ya uteuzi inapaswa kumuondoa.

Lakini hapa kuna namna. Fikra na uzoefu wangu unaniambia kuwa huyu DED, atakuwa ni mtu wa sheria asiyependa kujipendekeza na kutembeza bahasha kwa madiwani. Pia yaweza kuwa chama wilayani hataki kuwalea kifedha kama ilivyo desturi ya CCM kulipiwa hadi vikao vyao vya kata na DED. Ajiandae tu kuhama hapo.
 
Mkurugenzi wa halmashauri ya Mbozi Bi Godigodi amesema yeye ni mteule wa Rais hivyo madiwani hawana ubavu wa kumchukulia hatua zozote za kinidhamu ikiwemo kumsimamisha kazi.

Godigidi amesema hayo baada ya baraza la madiwani la halmashauri ya Mbozi kudai limemsimamisha kazi kutukana na kutokuwa na imani naye.

Source: Star tv

Kazi Iendelee!

Nilijua yule Godigodi wa ITV malumbano ya hoja ndio DED siku hizi.
 
Mkurugenzi wa halmashauri ya Mbozi Bi Godigodi amesema yeye ni mteule wa Rais hivyo madiwani hawana ubavu wa kumchukulia hatua zozote za kinidhamu ikiwemo kumsimamisha kazi.

Godigidi amesema hayo baada ya baraza la madiwani la halmashauri ya Mbozi kudai limemsimamisha kazi kutukana na kutokuwa na imani naye.

Source: Star tv

Kazi Iendelee!
Naona umeacha kutumia zile kauli za kichawi za MAENDELEO HAYANA CHAMA
 
Hahahaa kweli jamaa anajifanya anajua kila kitu ila mpeni cheo ameunga mkono juhudi kitambo sana yeye na mwenzake mastawili.
Mwenzao Matefu aliamua kujikita na kilimo huko Turiani na sasa anaendesha Vieitiii ya kwake binafsi siyo kama ile ya Shaka aliyoachiwa na Polepole!
 
Back
Top Bottom