Hao madiwani hawana aibu. DED huyo ndiye aliyewapa udiwani kwa kutekeleza agizo la marehemu Magufuli la kutotangaza mpinzani yeyote kuwa ameshinda hata kama ameshinda, halafu hao waliopatikana kwa njia za kishetani, nguvu za kishetani na amri za kishetani, wanaamini wana uwezo wa kumwondoa aliyewaweka!!! Hii ni sawa na mbwa kumng'ata mwanadamu anayemtunza.