johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkurugenzi wa halmashauri ya Mbozi Bi Godigodi amesema yeye ni mteule wa Rais hivyo madiwani hawana ubavu wa kumchukulia hatua zozote za kinidhamu ikiwemo kumsimamisha kazi.
Godigidi amesema hayo baada ya baraza la madiwani la halmashauri ya Mbozi kudai limemsimamisha kazi kutukana na kutokuwa na imani naye.
Source: Star tv
Kazi Iendelee!
Huyo ni dada yake.Nilijua yule Godigodi wa ITV malumbano ya hoja ndio DED siku hizi.
Huyo ni dada yake.
Godigodi wa Malumbano ya hoja bado anapambania uteuzi anachelewa kwa sababu wateuzi wanasema ana nyodo na ujuaji kama Mwakabibi!
Naona umeacha kutumia zile kauli za kichawi za MAENDELEO HAYANA CHAMAMkurugenzi wa halmashauri ya Mbozi Bi Godigodi amesema yeye ni mteule wa Rais hivyo madiwani hawana ubavu wa kumchukulia hatua zozote za kinidhamu ikiwemo kumsimamisha kazi.
Godigidi amesema hayo baada ya baraza la madiwani la halmashauri ya Mbozi kudai limemsimamisha kazi kutukana na kutokuwa na imani naye.
Source: Star tv
Kazi Iendelee!
Mwenzao Matefu aliamua kujikita na kilimo huko Turiani na sasa anaendesha Vieitiii ya kwake binafsi siyo kama ile ya Shaka aliyoachiwa na Polepole!Hahahaa kweli jamaa anajifanya anajua kila kitu ila mpeni cheo ameunga mkono juhudi kitambo sana yeye na mwenzake mastawili.
Sasa ni Kazi Iendelee!Naona umeacha kutumia zile kauli za kichawi za MAENDELEO HAYANA CHAMA
Mwenzao Matefu aliamua kujikita na kilimo huko Turiani na sasa anaendesha Vieitiii ya kwake binafsi siyo kama ile ya Shaka aliyoachiwa na Polepole!
We madiwani unawaona ni waajiri wa DED?Haya ndio mambo katiba mpya inatakiwa kurekebisha. Haiwezekani madiwani washindwe kumsimamisha DED.
Kwani mbozi wanasemaje?Mwenzao Matefu aliamua kujikita na kilimo huko Turiani na sasa anaendesha Vieitiii ya kwake binafsi siyo kama ile ya Shaka aliyoachiwa na Polepole!
Hahahaaaa..... Amenenepa kama alivyokuwa hayati John Komba!Duh Agustino matefu anamiliki vieite kwa ukulima tu? Atakuwa kapiga hela chafu maana jamaa pia ni chawa sana!!
Silinde atakujibu bwashee!Kwani mbozi wanasemaje?