Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Shida hawa wanawahonga PCCB na Polisi, mwisho kesi huyeyuka.Kila jambo linawezekana ajabu hakuna!
Acha kabisaMAKADA wa CCM wanajipigia Fedha za MIKOPO TU
Kwenye hizo chawa tasafali sana,mtupishe wazalendo wakweli tulitumikie taifa bila kikwazo wala gogoro🤸🤸Hizi kesi ni jaramba la kesi kubwa zijazo za wakubwa na wazito walioharibu huko nyuma
Unamaanisha Rais alijua kila kitu?? Cha ajabu ni Kama walibadilishana, wa Iramba alihamia Ushetu na wa Ushetu akahamia Iramba. Sasa hapo si mnayajenga na kulindiana Maovu!!tatizo takukuru hawajawai kushinda kesi hapo kesi hakuna na fidia lazima alipwe tu au afukuzwe kazi na hela alio iba hatonyanganywa kwanza wakati anahamishwa alie muhamisha alijua kila kitu
Watashindaje wakati wao ni wala rushwa no.1, kama wangekuwa hawapokei wangefungwa wengi na tungekuwa mbali kama nchitatizo takukuru hawajawai kushinda kesi hapo kesi hakuna na fidia lazima alipwe tu au afukuzwe kazi na hela alio iba hatonyanganywa kwanza wakati anahamishwa alie muhamisha alijua kila kitu
Sina uhakikaHizi kesi ni jaramba la kesi kubwa zijazo za wakubwa na wazito walioharibu huko nyuma
Inavyoonekana kesi hii itazimwa kimyakimyaWasiishie kushikiliwa Bali wachukuliwe hatua
Hatua zenyewe hazimtii hata muwasho mhalifu, ingekuwa wanapigwa risasi hakuna mtu angefanya huo ujingaWasiishie kushikiliwa Bali wachukuliwe hatua