Day 1 gongs
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 392
- 758
Habari wanajf,
DED Manyoni uwe na utu Kwa watumishi walio Chini yako haswa ukizingatia afya ndiyo msingi wa rasilimali watu, Kipi kinakufanya kushindwa kumruhusu mtumishi wako Kada ya Uchumi ambaye anasumbuliwa na maradhi ya mapafu tena Kwa uthibitisho wa Medical Report ya Daktari kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili aweze kuhamia karibu na Daktari na unakaza fuvu.
Mtumishi amepambania huko utumishi imebaki idhini yako lakini upo kupiga chenga hivi unataka afariki hapo kituoni uweze pata cha kuongea, Mpunguzie safari za kliniki kila wiki maana hata kazi awezi kufanya kwa ufanisi Kwa kubanwa Kwa mbavu mara Kwa mara na kupaswa kufika Kwa Daktari.
HIZI NAFASI ZA UTEUZI ZINAPASWA KUFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA BILA KUANGALIA UKADA WA MTU HII NI KUTIA DOA CHAMA TAWALA.