DED Uvinza asimamishwa kazi na Waziri Mkuu kwa kuchelewesha miradi ya Serikali

DED Uvinza asimamishwa kazi na Waziri Mkuu kwa kuchelewesha miradi ya Serikali

Kuna wadada wengine bora warudishage vijiti tu kwa president, coz hata muonekano wao unasadiki yakuwa majukumu waliyopewa ni mazito kwao!!
Kazini hawana utendaji wa ubunifu, wametulia wakingoja kuelekezwa nini cha kufanya toka juu
Na kiongozi wao je arudishe kijiti kwa nani? Maana Hana tofauti nao. Katiba mpya inahitajika, itupe uwezo wa kuwapiga chini wote wasio na maamuzi endelevu.
 
Hamuwatendei haki wananchi tangu 2021 fedha zimetolewa mkurugenzi umekaa tu. Fukuza hao wapewe watu wanaoweza kusimamia kazi zikaenda.
 
Mtumishi wa umma hafukuzwi kama wewe unavyomfukuza bwanako
Takukuru haina uwezo wa kuchunguza jambo lolote liwalo
Chukua hiyo
Eheeee! utasikia litakalojiri alafu uje na Uzi wako
 
Back
Top Bottom