DED wa Gairo aliyeiba mabati ya Shule asimamishwa kazi.

CCM imejaa majizi na majangili tupu, huyu ni DED ni mwizi ni wale ambao walitoka UVCCM na kupewa vyeo bila kuwa watumishi wa umma(senior officer).
 
Kazi za serikali ni ngumu sana. Utakuta serikali inaandika story ndefu kujulisha wananchi lakini wakishindwa hawaandiki kujulisha wanainchi kwamba mtuhumiwa ameonekana hana hatia na anarudishwa kazini. mara nyingi wanarudishwa kimya kimya
 
Wapo watumishi wamefukuzwa Kazi kwa kupewa elf 5 tu kama asante lakini majizi makubwa huwa yanasimamishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…