Dedicated to my sweetheart mtoto wa kitanga

Eti unamfungulia mtu uzi afu anakuja kukujibu"hahahaa santeeee sanaaa my kaka mzuuuri but umechelewa nimeshawahiwaaaaa"
Hahaha mambo ya vlad hayo ahaha yani unaweza ukajikuta unaanza kufungua nyuzi nyingi ili kale kauzi kako kapoteee

Mara unakuja na uzi wa "ni kilimo gani cha maembe ambacho nnaweza kupata faida ndani ya miezi mitatu"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan Putin hapana jamani nakula ujue mpaka nimetema chakula kwa kucheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…