Dedicated to my sweetheart mtoto wa kitanga

mbona Kimya "" ndio mmeenda kukulwa ..nakulana""?? kwahiyo mmetutia genye hapaa weee ..kisha sisi tusio nawenza mmetaucha wapweke.....


pumbafu thana aiseee"""
 
Kupendwa raha sana
Nikweli kabisa , unajua nn baby ,sometime faith and belief kwa kiswahili yanaonekana yana maana moja ,ila to me my belief in love has become so stronger kwa uwepo wako tu maishan mwangu. And my Faith in Angels imezidi kua so true tangu siku nmekuona.yaan kabisa umenifanya niamini Malaika wapo[emoji1][emoji1]
 
[emoji23][emoji23] yani umenifanya nicheke...khaa
 
unapoelekea sasa utamwambia kuwa MUNGU ni baba yke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…