Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Sanaaa hasa kama hivi jomoni. Yani najua kabisa the feelings is mutual.Kupendwa raha sana
Raha ya huba mwanaume aseme kuwa anakupenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanaaa hasa kama hivi jomoni. Yani najua kabisa the feelings is mutual.Kupendwa raha sana
Wewe baki mpenzi wangu, acha mimi niondokeWewe njoo kwa Prime Minister tuu
Huku mimi nimekosa mood ya kuendelea kuepo baby
Mambo ya kufa na tai shingon nan anayataka?Sanaaa hasa kama hivi jomoni. Yani najua kabisa the feelings is mutual.
Raha ya huba mwanaume aseme kuwa anakupenda
Msikilize mwenzio jamaniWewe baki mpenzi wangu, acha mimi niondoke
Ndo kama mi hapa nilikua natamani nikwambie navyokupendaMambo ya kufa na tai shingon nan anayataka?
Tutaenda kuongea nyumbani Dear usijali kabisaMsikilize mwenzio jamani
Okay maaTutaenda kuongea nyumbani Dear usijali kabisa
Nikweli kabisa , unajua nn baby ,sometime faith and belief kwa kiswahili yanaonekana yana maana moja ,ila to me my belief in love has become so stronger kwa uwepo wako tu maishan mwangu. And my Faith in Angels imezidi kua so true tangu siku nmekuona.yaan kabisa umenifanya niamini Malaika wapo[emoji1][emoji1]Kupendwa raha sana
Tumerarambona Kimya "" ndio mmeenda kukulwa ..nakulana""?? kwahiyo mmetutia genye hapaa weee ..kisha sisi tusio nawenza mmetaucha wapweke.....
pumbafu thana aiseee"""
[emoji23][emoji23] yani umenifanya nicheke...khaaNikweli kabisa , unajua nn baby ,sometime faith and belief kwa kiswahili yanaonekana yana maana moja ,ila to me my belief in love has become so stronger kwa uwepo wako tu maishan mwangu. And my Faith in Angels imezidi kua so true tangu siku nmekuona.yaan kabisa umenifanya niamini Malaika wapo[emoji1][emoji1]
unapoelekea sasa utamwambia kuwa MUNGU ni baba ykeNikweli kabisa , unajua nn baby ,sometime faith and belief kwa kiswahili yanaonekana yana maana moja ,ila to me my belief in love has become so stronger kwa uwepo wako tu maishan mwangu. And my Faith in Angels imezidi kua so true tangu siku nmekuona.yaan kabisa umenifanya niamini Malaika wapo[emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unapoelekea sasa utamwambia kuwa MUNGU ni baba yke
hahaaa Jamaa nitapeli mnoo aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poa Chief....RRONDO niaje mazee!
Shemeji salama?Hao siwajui kaka
Salama shemShemeji salama?
Ulivyochelewa nkakuwahi[emoji6][emoji2][emoji23][emoji2]Ndo kama mi hapa nilikua natamani nikwambie navyokupenda
Atakuwa busy na ndoa kungwi wetu wa jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan sijui yupo wapi, nimemmiss kweli, kipindi kile kile kulikuwa moto hatari