Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Baby achana naoNaona
nmeambulia kuvuliwa nguo hadharan
Cc mzigua90
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baby achana naoNaona
nmeambulia kuvuliwa nguo hadharan
Cc mzigua90
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwahiyo ngoma draw....na kweli kaisoma ....mwenzenu mwingine huyu hapa....[HASHTAG]#Mrmiller[/HASHTAG]..anaugulia maumivu hko alipo
Nipe nipe moyo basNdo ukweli huo bby [emoji23][emoji23][emoji23]
Dhaaaa unanifanya n cheke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naenda kudai bundle langu aiseee[emoji126][emoji126][emoji126][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan nimechekaaa kishenzi
Hii idea alo kupa hakutakii mema
Hahahahahaaa malizia bapa mkuu""ujillie zako salama
MmmmmhBut you know I love(d) you eeeh.
Nilivoona tu huu uzi kuna kitu nikakumbukaNimeshamjibu kipenzi cha moyo wangu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Tokaaa hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nikiacjwa utanioa?
Kipi hichoNilivoona tu huu uzi kuna kitu nikakumbuka
kabisa aiseeeYaan jf unatakiwa uwe na moyo wa chuma ndio utaishi kwa amani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimewaza mengi mnoooo[emoji23][emoji23][emoji23]
hahaaaaUzi utaondoka na kichwa cha mtu.
hahaaa Huyo huyo ndiye atakusaidia mimi mweyew huwaga naokoteza kwake aiseee
Bora umekuja hearly kakataa kunifsiria jamani nitafsirie basi [emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] anajichetua uyoooo
But but...Embu nitafsirie lovely ili na mimi nisibaki nyuma kwenye huu uzi please.
Maneno yanaonesha yana ujumbe mzito sana
Ukitafsiriwa usinisahau na mm jamani NeyEmbu nitafsirie lovely ili na mimi nisibaki nyuma kwenye huu uzi please.
Maneno yanaonesha yana ujumbe mzito sana
hahaa nimefanya nini mimi "" tatizo huna adabu na wakubwa zako dogo[emoji23] [emoji23] [emoji23] anajichetua uyoooo
Kweli kabisa na kama una mbebez humu kama ana miwivu anaweza kufa ghafla kwa preshakabisa aiseee
[emoji574] [emoji574] [emoji574] [emoji574] [emoji574]But you know I love(d) you eeeh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kijana kasitiriwa safi sanaaa!