Dedicated to my sweetheart mtoto wa kitanga

Dedicated to my sweetheart mtoto wa kitanga

This is too much jokes mylove, mbona haziwatokei wanaume wengine?
Kila siku mwanaume wangu tuu jamani, hapana. Twende ukanieleze ukweli tuu. Kila siku nakwambia mpenzi wangu hata mimi ninamoyo wa nyama sio chuma kwanini unanifanyia hivi?
Nimekukosea nini wangu
Wanaobembeleza vizur hiv walishakufa kwenye vita ya pili ya dunia,shoga we imekuaje upo???nakuja unipe kitchen part
 
Back
Top Bottom